Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

You must be kidding,then nilisahau Dini jamani mimi ni mkristo na napenda mkristo
sitaki uke wenza mana nina wivu sana,na Dini yangu hairuhusu ivyo,halafu nani kakwambia
kama sisi wanawake tupo wengi?hata kama idadi ipo ivyo,lakini Mungu kampangia kila mtu na wake na mimi yupo tu najua atakuja;Aksante,

haya, nimekugongea <likes> mbili hapo ishara ya upendo wangu wa dhati kwako. inapendeza mimi ndo wa kwanza kukugongea like, sifa y
 
Mimi nina sifa zote hizo, tatizo umenizidi umri kwa mbali kidogo. Hivyo nakuombea kwa mungu umpate huyu unayemtafuta. Na pepo wa kukosesha ashindwe na apotelee mbali.
 
habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa'
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.
Swali,je kwa nini nimeamua kuchagua njia hii ya JF kumtafua mpenzi wa kweli?
ni kwa kuwa nimeona wengi wanaotumia FORUM HII wana upeo mzuri na waelewa
na si wahuni,na hawatachukulia suala hii kama joke ndo mana sijaenda kule kwenye
chit-chat so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nilijidanganya kama nimepata kumbe sivyo,kwa kuwa hakuthamini
mapenzi yangu ya dhati kwa kunichukulia kiutani huku miaka ikiwa inapita pia nikatambua kwamba
hatuendani kwa mambo mengi,mfano ni mlevi wa kupindukia,hapendi kujituma nikiwa na maana
ya maendeleo hata ya kupiga hatua moja mbele ki- maisha,hakuwa anaonyesha Real love ya
kusema mimi naweza kujivunia hata kwa marafiki kama nina mpenzi muda mwingi nikawa lonely
yeye akiwa Busy na ulevi uliokithili.Ivyo tukielewana ukinipa sifa zako tutaonana live!
So if you are lonely out there you are welcome and just be realistic and affectionate!
umri je?
 
natafuta mke wa pili (japo mimi mkristo), ukikosa huyo bwana mwenye mapenzi ya dhati usisite kunitafuta japo utakuwa mke wa pili, mpo wengi sana duniani, lazima tufanye balance walau ya kuoa wake wawili kuliko kuhenya henya nje.

Deejay nasmile likes your comment
 
Last edited by a moderator:

Ipo siku na mimi mtatangaza jambo hapa ndani. wewe dada unafiti kila idara kwangu kwa kuwa ninataman sana mwalimu.
Nataman mwalimu kwa sababu amesoma maadili na phychology automatically wanakuwa wastaarabu then kaz yenyewe inafanyika within 8 to 10 hours means kuna uwezekano wa mwalimu kuwepo nyumban kwa masaa 14 hadi 16 tofauti na mfanyabiashara wa masafa, madaktar au wauguz na askar hao siwataki na bora niwe bachela mpaka kufa SABABU NINAZO.

Sitatuma maombi kwako kwa kuwa nina 27 na bado sijatarajia mke hv karibuni ila nikiwa tayari ntahitaji mke mwenye wasifu kama wako.

Mungu akutangulie!
 
muhuni ni muhuni haijalishi fani,kuna maaskari wameoana na wanaheshimu ndoa zao zimejaa amani na furaha tele.................tafuta anaekupemda na kukuheshimu...fani si hoja...
 
Mimi nina sifa zote hizo, tatizo umenizidi umri kwa mbali kidogo. Hivyo nakuombea kwa mungu umpate huyu unayemtafuta. Na pepo wa kukosesha ashindwe na apotelee mbali.

usijali,na wewe utampata tu,mimi leo leo wamejitokeza
weeeeeeeeengii sasa nachuja na kuchagua isije nikapatikana
badala ya kupata,si unajua mambo ya DARISALAMA!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom