Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

Deejay umeniuliza swali zuri sana,umeuliza nitawachujaje?kwa vigezo
nitaomba Cv zao,mwenye kuwazidi wenzake kwa vigezo vyangu ndo
atakuwa amejishindia mke mzuri mwenye mapenzi ya kweli na hatajuta
so bado nafasi zipo,ila angalizo ni lazima awe mkristo na pesa za kutosha
kwani na mimi si wa mchezo mchezo
!
Kama nakuona mrembo ukizithaminisha hizo CV ukiwa na calculator kuubwa................But seriously i wish u all the best, ila nakushauri hilo la mijihela usilipe uzito saaana. Just saying
 
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.

so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nilijidanganya kama nimepata kumbe sivyo,kwa kuwa hakuthamini
mapenzi yangu ya dhati kwa kunichukulia kiutani huku miaka ikiwa inapita pia nikatambua kwamba
hatuendani kwa mambo mengi,mfano ni mlevi wa kupindukia,hapendi kujituma nikiwa na maana

ya maendeleo hata ya kupiga hatua moja mbele ki- maisha,hakuwa anaonyesha Real love ya
kusema mimi naweza kujivunia hata kwa marafiki kama nina mpenzi muda mwingi nikawa lonely
yeye akiwa Busy na ulevi uliokithili.Ivyo tukielewana ukinipa sifa zako tutaonana live!

So if you are lonely out there you are welcome and just be realistic and affectionate![/QUOTE]

Tofauti ya JF na mitandaop mingine ni kwamba hapa JF lazima tuku challenge. Ngoja nianze moja baada ya nyingine

Mosi
Umesema wewe in mwanamke mrembe, namba 8 na sifa kibao za kusema wewe mrembo. Hivi nani alikuambia watu wanaoa sura au umbo. Hebu kafanye utafiti huko na kuangalia wanawake waliolewa, wengi ni wabaya, umbo namba zero nk lakini wameolewa na watu wazito. Sura wala umbo sio ishu sana sana tu Wanaume watakutamani na kuchezeana, na jambo hili la uzuri huwa linawapa kiburi wanawake na mwishowe miaka inapita bila kuolewa mpaka wanaanza kujitangaza
LAZIMA UJUE HAPA JF UTAPATA WENGI SANA NA USIPOKUWA MAKINI MWISHO WAKE UTAMKUMBUKA HATA HUYO MLEVI

Pili

CV yako umeandika kama unaomba kazi au unatafuta mtu aje kufanya kazi kwenye kampani yako. Ukishataja kwamba una elimu ya chuo,una kazi na kujitegemea. Hapa maana yake unatafuta kazi. Vijana wa siku hizi wanaoa hata STD VII ili mradi wapate tulizo la moyo kuliko nyie wa haki sawa.
Nimepitia thread zako nyiingi unazowajibu watu, unasema wakija wengi utaangalia mwenye CV nzuri. Unataka ku recruit nini? Hapo ndipo utakapoingia chaka sasa. Ndio maana vijana wengi hasa wasomi wanarudi chini kuoa least profile woman kwa ajili ya watu kama nyie.

TATU

Umesema jamaa wako wa zamani alikuwa hajitumi na mlevi kupindukia. Sisi tunaoamini kwenye PRINCIPLE OF NATURAL JUSTICE hatuwezi amini hivyo. Wanawake wengi wanajiona ni malaika, hata akifumaniwa hapa baadaye atasema alimfumania jamaa wake. Wewe tutajuaje?Unataka kutuamiba kwa umri wako wa miaka 30 ni huyo unayemuita mlevi ndio ulikuwa na uhusiano naye tu.
Hebu jiangalie na wewe kama una/huna matatizo, kwa nini katika umri wa miaka 30 hujaolewa. Kwa hzo sifa unazojipamba na umri wako na hujaolewa, akili inachoka na moyo unakuwa mzito. Kumbuka wanawake mpo wengi sana tena kuna wale wa 1987 up to 1993 na wao vilivile ni wazuri na wasomi vile vile.

NNE
Unataka CV za wanaume then mwenye the highest Profile ndio utamchagua, kwa akilia yako unadhani hao wenye sifa hizo wapo single kihivyo. Utasota sana kwa staili hiyo. Mwishowe utakuta unagonga 40

HITIMISHO
Umesema wewe ni Mkristo hebu rudi kanisani kamuombe Mungu, Mke/Mume hapatikani kwa kujitangaza. Hata kama utapata mwishowe utakuja kujuta tu
Jiangalie na wewe mienendo yako kwa ujumla kabla hujaanza kunyoshea wengine vidolo.
 
Umri miaka 33 mpaka 45,tafadhali naomba mtu awe mkristo,elimu ya kutosha na
pesa ya kwendeshea maisha,na awe serious,yaani kusaidiana maisha,i hope you
get me!

I get you....ingawa am somehow troubled na kupata mchumba online. Ni ngumu sana kujua kipi ni kipi. Trusting in what you said before, yaani ni msichana mrembo, usiye na hitilafu yoyote, ina maana huna social network ya kukuwezesha kukutana na potential husband?
 
Mkuu sidhani baada ya kutumiana tu PM hapa mtatoka na kwenda kanisani kufunga ndoa.. Hii ni kama ice breaker, yaani hata kama mnakutana bar au kanisani kwanza mtaongea, kuulizana habari zenu, kucheka na ku-enjoy kampani zenu, kukutana kwenu hakuwafanyi muwe obliged kuoana, Online is a place like any kukutana na watu, (ila angalizo kabla haujaenda nyumbani kwa mtu ni vema kwanza mkakutana kwenye public place na kuwa carefully (just like unavyokuwa carefully ukikutana na mtu mara ya kwanza iwe kanisa, msikitini au sokoni)
 
Ipo siku na mimi mtatangaza jambo hapa ndani. wewe dada unafiti kila idara kwangu kwa kuwa ninataman sana mwalimu.
Nataman mwalimu kwa sababu amesoma maadili na phychology automatically wanakuwa wastaarabu then kaz yenyewe inafanyika within 8 to 10 hours means kuna uwezekano wa mwalimu kuwepo nyumban kwa masaa 14 hadi 16 tofauti na mfanyabiashara wa masafa, madaktar au wauguz na askar hao siwataki na bora niwe bachela mpaka kufa SABABU NINAZO.

Sitatuma maombi kwako kwa kuwa nina 27 na bado sijatarajia mke hv karibuni ila nikiwa tayari ntahitaji mke mwenye wasifu kama wako.

Mungu akutangulie!
Da mi nna 29 sifa ninazo kasoro uweusi huo sijuhi wa kiasi ghani,mi maji ya kunde.Urefu pia sijuhi angeweka hapa specific heights, mi nina 174cm.Anyway all the best dada yangu!!
 
Tofauti ya JF na mitandaop mingine ni kwamba hapa JF lazima tuku challenge. Ngoja nianze moja baada ya nyingine

Mosi
Umesema wewe in mwanamke mrembe, namba 8 na sifa kibao za kusema wewe mrembo. Hivi nani alikuambia watu wanaoa sura au umbo. Hebu kafanye utafiti huko na kuangalia wanawake waliolewa, wengi ni wabaya, umbo namba zero nk lakini wameolewa na watu wazito.
Mkuu nadhani msemo wa different strokes for different folks (umekupita kando), sasa kama yeye ni mzuri na mrembo (which is an advantage to some) kwanini asiseme ?, na hii imeprove successfully sababu watu wengi wamechangia hivyo atapata potential candidates.

Kwahio mkuu if it does not work for you sio necessarily haitafanya kazi kwake, (sababu wanaume wote hatuna mawazo sawa wala kutaka watu wa aina moja) ni kwamba anachoweka hapa kwenye CV yake ni mwanzo tu wa kupata PM kupata au kutokupata ni pale watakapokutana physically na kuchunguzana baada ya muda.., Kumbuka

One Man's Meat is another Man's Poision
 
nasikitika hongera sana, kwa kuipa concern kubwa jf. Pia nimefurahishwa sana kwa wewe kuwa mwalimu kwani na mimi ni mwalimu na niliolewa kwasababu wakati huo wanaue weni waliamin kuwa mwalimu can make a good wife. Sijisifu lakin mume wangu hajawah kujuta japo kukosea kupo katika maisha.

Ushauri wangu kwa kijana wa jf. Jamani just be serious. Muwe si mnapm kumbe hammaanishi. Dada huyu kwa maelezo yake ana nia ya dhati, kamwe msimuuize zaid wakaka wazuri.

Ushauri wangu kwako dada, usilemewe sana na mwenye kipato au kazi nzuri tu, au wenye cv nzuri. Manake kuna mtu akiandika cv yake unaweza ukaangua kwa jins ilivyo nzuri ila in real hayupo hivyo.kwa mm nafikiri best option itakayokufanya umchague mzuri ni kumuweka mungu mbele, kisha jitahidi kila mmoja muonane na usifanye haraka kutoa solution. Kuna jambo moja kuonana na mtu live mkikaa masaa mawili labda mnakunywa soda mahali itasaidia kuwajua kenge ni yupi ndani ya safara wa mamba. Kwa hiyoo kuna utakao wadisqualify kwa kuonana kwa mara ya kwanza.

Wengine jinsi atakavyokuwa anaongea kwenye simu, utamjua kama ana moyo wa kujali au la, ila kumbuka hakuna kanuni ya kumjua huyu ana upendo wa dhati au la kitakacho kufanya utambue ni jinsi utakavyoendelea kuwa naye karibu, na kwakua siyo kitu cha mara moja basi watatakiwa watu wachahce sana waingie hii stage, ili uwachuje na kubaki mmoja.

Ila pia sasa pana kigezo hapa kuwa wanaume hawatapenda uwe uko karibu naye halafu unawasiliana na mtu mwingine, wambie kabisa kwa kuwa njia niliyotumia ilileta watu wengi basi miongoni mwenu bado nawachuja, sasa usikasirike, na kwa kuwa nao karibu please usijaribu kufanya ngono kamwe mpaka umempata wa kwelli ambaye utaingia naye church. Epuka kabisa kwa akipindi hiki kukaa nao sehem za faragha ambazo zitaamsha hisia za ngono. Kaa nao kwenye sehem za watu, na usimpeleke mtu nyumbani kwako kwani lazima itaamsha hisia za ngono kabla hujachuja nakusisitiza ukipenda kutoka nao usiku au kukaa nao faraghani utajikuta umezini na watu wengi sana huu uwe msimamo wako wa dhati kabisa na mwenye nia au aliye wakwako atabaki tu.

zingatia ushauri huu, nadhani utakusaidia sana
 
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.

so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nilijidanganya kama nimepata kumbe sivyo,kwa kuwa hakuthamini
mapenzi yangu ya dhati kwa kunichukulia kiutani huku miaka ikiwa inapita pia nikatambua kwamba
hatuendani kwa mambo mengi,mfano ni mlevi wa kupindukia,hapendi kujituma nikiwa na maana

ya maendeleo hata ya kupiga hatua moja mbele ki- maisha,hakuwa anaonyesha Real love ya
kusema mimi naweza kujivunia hata kwa marafiki kama nina mpenzi muda mwingi nikawa lonely
yeye akiwa Busy na ulevi uliokithili.Ivyo tukielewana ukinipa sifa zako tutaonana live!

So if you are lonely out there you are welcome and just be realistic and affectionate!

Tofauti ya JF na mitandaop mingine ni kwamba hapa JF lazima tuku challenge. Ngoja nianze moja baada ya nyingine

Mosi
Umesema wewe in mwanamke mrembe, namba 8 na sifa kibao za kusema wewe mrembo. Hivi nani alikuambia watu wanaoa sura au umbo. Hebu kafanye utafiti huko na kuangalia wanawake waliolewa, wengi ni wabaya, umbo namba zero nk lakini wameolewa na watu wazito. Sura wala umbo sio ishu sana sana tu Wanaume watakutamani na kuchezeana, na jambo hili la uzuri huwa linawapa kiburi wanawake na mwishowe miaka inapita bila kuolewa mpaka wanaanza kujitangaza
LAZIMA UJUE HAPA JF UTAPATA WENGI SANA NA USIPOKUWA MAKINI MWISHO WAKE UTAMKUMBUKA HATA HUYO MLEVI

Pili

CV yako umeandika kama unaomba kazi au unatafuta mtu aje kufanya kazi kwenye kampani yako. Ukishataja kwamba una elimu ya chuo,una kazi na kujitegemea. Hapa maana yake unatafuta kazi. Vijana wa siku hizi wanaoa hata STD VII ili mradi wapate tulizo la moyo kuliko nyie wa haki sawa.
Nimepitia thread zako nyiingi unazowajibu watu, unasema wakija wengi utaangalia mwenye CV nzuri. Unataka ku recruit nini? Hapo ndipo utakapoingia chaka sasa. Ndio maana vijana wengi hasa wasomi wanarudi chini kuoa least profile woman kwa ajili ya watu kama nyie.

TATU

Umesema jamaa wako wa zamani alikuwa hajitumi na mlevi kupindukia. Sisi tunaoamini kwenye PRINCIPLE OF NATURAL JUSTICE hatuwezi amini hivyo. Wanawake wengi wanajiona ni malaika, hata akifumaniwa hapa baadaye atasema alimfumania jamaa wake. Wewe tutajuaje?Unataka kutuamiba kwa umri wako wa miaka 30 ni huyo unayemuita mlevi ndio ulikuwa na uhusiano naye tu.
Hebu jiangalie na wewe kama una/huna matatizo, kwa nini katika umri wa miaka 30 hujaolewa. Kwa hzo sifa unazojipamba na umri wako na hujaolewa, akili inachoka na moyo unakuwa mzito. Kumbuka wanawake mpo wengi sana tena kuna wale wa 1987 up to 1993 na wao vilivile ni wazuri na wasomi vile vile.

NNE
Unataka CV za wanaume then mwenye the highest Profile ndio utamchagua, kwa akilia yako unadhani hao wenye sifa hizo wapo single kihivyo. Utasota sana kwa staili hiyo. Mwishowe utakuta unagonga 40

HITIMISHO
Umesema wewe ni Mkristo hebu rudi kanisani kamuombe Mungu, Mke/Mume hapatikani kwa kujitangaza. Hata kama utapata mwishowe utakuja kujuta tu
Jiangalie na wewe mienendo yako kwa ujumla kabla hujaanza kunyoshea wengine vidolo.
[/QUOTE]

HAKIKA UTAKUWA NA AKILI KUBWA SANA FOUNDATION, YAWEZEKANA KABISA WAKIKUTANA NAE WANAUME HAO HAO WAMKIMBIE KWA EIDHA UBAYA, AU UZURI+UCHANGUDOA, AU UZURI +ULEVI, UZURI + UOZO WA NDANI...
 
Au unaonaje ungeenda Outdoor ukabandikiwe matangazo yako barabarani ambako ndiko kwenye access ya watu wengi
 
You must be kidding,then nilisahau Dini jamani mimi ni mkristo na napenda mkristo
sitaki uke wenza mana nina wivu sana,na Dini yangu hairuhusu ivyo,halafu nani kakwambia
kama sisi wanawake tupo wengi?hata kama idadi ipo ivyo,lakini Mungu kampangia kila mtu na wake na mimi yupo tu najua atakuja;Aksante,

Uhvuuuuuuuuu! Nimechoka hoi baada ya kufungua kwa spidi ya rocket kwani nilijua rizki hiyoooooooo! kumbe wapi-Hapana revive preference zako ili na wengine tu-compete bibie
 
Yashakuwa haya tena?
Mimi nina vigezo kama vinne hivi kati ya ulivyotaja, kasoro umri, pia hiki kigezo cha bonus cha 'mijihela' pia sina, and I am the least serious man in the world,
do I fit you?
usijali pesa niliyozungumzia hapa ni ya kujikimu sio unakuwa hauna kabisa,tutaishije sasa,jipange kaka!
 
Dada Gfsonwin,im realy appreciate for whatyou adviced me,wkt nasoma ujumbe wako mpaka machozi
yamenitoka,umechukua muda wako mwingi na kuweka nafsi yako ikawa yangu,how nice is your heart?
nimefarijika sana kujua hapa Duniani bado kuna watu wenye Roho nzuri ya namna yako wanaojua utu wa binadam
Mugu akutangulie na nakuahidi kufuata ushauri wako wote bila hata kubakiza hata moja,pia nitapend sana ukiniPM
ili iwe rahisi kwetu kuwasiliana pia unitumie no yako nami nitakupa yangu.kama ulivyosema wamejitokeza wengi sana
cha muhimu nitaanza na mmoja wao aliyeonyesha kuiwania nafasi hii kwa dhati kabisa kwani kaweza kutuma na picha yake kwa kuanzia,na nitafanya ivyo kwa wengine wanne,ni kukutana nao sehemu ya wazi na kusoman tabia kati ya hao I hope atatokea Mungu aliyenijalia.Aiseeeeeeee,you made my Day.you are a true friend,I LOVE YOU!
 
Mkuu nadhani msemo wa different strokes for different folks (umekupita kando), sasa kama yeye ni mzuri na mrembo (which is an advantage to some) kwanini asiseme ?, na hii imeprove successfully sababu watu wengi wamechangia hivyo atapata potential candidates.

Kwahio mkuu if it does not work for you sio necessarily haitafanya kazi kwake, (sababu wanaume wote hatuna mawazo sawa wala kutaka watu wa aina moja) ni kwamba anachoweka hapa kwenye CV yake ni mwanzo tu wa kupata PM kupata au kutokupata ni pale watakapokutana physically na kuchunguzana baada ya muda.., Kumbuka

One Man's Meat is another Man's Poision

Haya ni maoni yangu mkuu. Na mimi naheshimu maoni yako. Mimi na wewe hatuwezi fanana kwenye mawazo.Hapa ni JF home of great thinkers. Sasa kama wewe hutaki tuchambue neno kwa neno kazi kwako.
 
He jamani si kaniteua mimi nyinyi mnazo sifa hizo.....wote hapo maji ya kunde ila mimi mweusi tena mrefu na uhandsome sina uhakika coz naona kama kioo kinadanganya vile.......ila kama vp we twende chemba tutajua cha kufanya....
Natoke wilaya ya ilala na nina taaruma yangu. Wewe tu mi mwenyewe nimesha choka na huu upweke kila siku
 
Haya ni maoni yangu mkuu. Na mimi naheshimu maoni yako. Mimi na wewe hatuwezi fanana kwenye mawazo.Hapa ni JF home of great thinkers. Sasa kama wewe hutaki tuchambue neno kwa neno kazi kwako.
Kama hayo yalivyo maoni yako, (ninayaheshimu) na yeye aliyeleta mada kutafuta mchumba kwa njia aliyotumia ni maono yake.. (and no one is any wiser) kumbuka hapa hii sio black and white, ni kipenda roho hakuna wrong or right answers, kama wewe unaona njia aliyotumia haifai (fair to you, ulitumia yako ukapata) na yeye anatumia yake atapata.., kumbuka hapa sio jukwaa la ushauri wa mapenzi ni love connect (anatafuta connection) sio ushauri wa wapi alikosea kwenye maisha
 
habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa'
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.
Swali,je kwa nini nimeamua kuchagua njia hii ya JF kumtafua mpenzi wa kweli?
ni kwa kuwa nimeona wengi wanaotumia FORUM HII wana upeo mzuri na waelewa
na si wahuni,na hawatachukulia suala hii kama joke ndo mana sijaenda kule kwenye
chit-chat so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nilijidanganya kama nimepata kumbe sivyo,kwa kuwa hakuthamini
mapenzi yangu ya dhati kwa kunichukulia kiutani huku miaka ikiwa inapita pia nikatambua kwamba
hatuendani kwa mambo mengi,mfano ni mlevi wa kupindukia,hapendi kujituma nikiwa na maana
ya maendeleo hata ya kupiga hatua moja mbele ki- maisha,hakuwa anaonyesha Real love ya
kusema mimi naweza kujivunia hata kwa marafiki kama nina mpenzi muda mwingi nikawa lonely
yeye akiwa Busy na ulevi uliokithili.Ivyo tukielewana ukinipa sifa zako tutaonana live!
So if you are lonely out there you are welcome and just be realistic and affectionate!
Dada nanihii hauko na mwalimu mwenzako mdogo mdogo potable hivii mwenye < 28 years old? nataka kuwekeza iwapo vigezo na masharti yakizingatiwa?
 
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.

so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nili
kaka foundation.nimekupata sana na nashukuru sana kwa ushauri na inaonyesha ni
jinsi gani wana JF mlivyo makini,ok.unapenda kujua kwa upande wangu,niamini ipo ok,tatizo jamaa alikuwa ni mlevi
tu na anajuta mpaka kesho kunipoteza,ukinitafuta live nitakuonyesha ushahidi alinitesa sana.
kumbuka mimi ni mtu mzima mpaka nachukua uamuzi huu ni mengi nimetafakari na naona sio mbaya sana soon
nitampata,japo wewe naona hujaridhia njia hii,lakini je ni kweli hakuna watu waliopata wenza kwa njia hii?
Naomba uniPM umeshakuwa kaka wa hiari,Aksante sana kwa ushauri ila sitafanya papara nitachuja kwa makini hata kama asingekuwa toka Jf napo ningechuja,huyo jamaa nilikuwa nae toka nipo sec,so you can see how I feel,that is true from my heart! just pray for me!
Na kuhusu kujieleza umbo langu lilivyo ni kweli nipo ivyo ni kimaadili tu ya kazi yangu ningeweka uone hakika
ungeamini ila atakayebahatika mmoja ataona na si mnene ni mwembamba,na si kusema kwa jili ya sifa hapana ila atleast mwenye kupenda aina kama iyo aweze kujaribu bahati yake,na pia naomba tu kaka yangu Foundation uelewe tu kwamba sio wanawake wote wabaya au wenye maumbo zero kama ulivyosema ndo walioolewa pekee yake wapo pia warembo walioolewa,na sidhani kama ni mimi peke yangu mwenye miaka 30 ambaye nimebaki kuolewa bado tupo wengi na wengine wanaolewa kwa mapenzi ya Mungu,
Na pia kuhusu mimi kutoolewa mpaka leo nadhani kama umesoma kwa makini ungenielewa pengine kidogo uliruka
ni kwamba jamaa yangu niliyekuwa nae kabla ambaye niliamini tungekuwa wote alinichukulia kiutani na yeye mpaka leo
hajaoa na kanizidi miaka 12,ila kwa sasa ameshachelewa kwani nimemkataa na kigezo kikubwa ni pombe ya kupitiliza
na hapo kabla sikupenda kumwacha tu eti kisa pombe nilipenda kumbadilisha polepole lakini matokeo yake ndo hayo
ya mimi kufikisha miaka 30 tokea nikiwa na miaka 20 nilipoanza kuwa nae.hayo yamewakuta wadada wengi sana ila Mungu nae huwa na sababu zake,sitabagua watu na vigezo nilivyoweka ni ile tu kupunguza idadi ya watu wasije wakawa
wengi,mfanokama wewe najua ni mweupe,unaona mfano wa wakaka wa namna yako hawawezikuniandikia,
so plz kuwa na amani na wala sina nia mbaya,na nikimpata you will be the first to know!

POLE MWAYA ILA TARATIBU ........
 
Back
Top Bottom