Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

Angalia PM zako uanze kutambua yupi anakufaa sasa kama bado weka picha watu wavutiwe.
 
habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa'
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.
Swali,je kwa nini nimeamua kuchagua njia hii ya JF kumtafua mpenzi wa kweli?
ni kwa kuwa nimeona wengi wanaotumia FORUM HII wana upeo mzuri na waelewa
na si wahuni,na hawatachukulia suala hii kama joke ndo mana sijaenda kule kwenye
chit-chat so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nilijidanganya kama nimepata kumbe sivyo,kwa kuwa hakuthamini
mapenzi yangu ya dhati kwa kunichukulia kiutani huku miaka ikiwa inapita pia nikatambua kwamba
hatuendani kwa mambo mengi,mfano ni mlevi wa kupindukia,hapendi kujituma nikiwa na maana
ya maendeleo hata ya kupiga hatua moja mbele ki- maisha,hakuwa anaonyesha Real love ya
kusema mimi naweza kujivunia hata kwa marafiki kama nina mpenzi muda mwingi nikawa lonely
yeye akiwa Busy na ulevi uliokithili.Ivyo tukielewana ukinipa sifa zako tutaonana live!
So if you are lonely out there you are welcome and just be realistic and affectionate!

Weka picha
 
Hi! hope sister u will take this serious. Am impressed wt ur courage to come out n look out what u want. Am black n handsome,born again xtian,goal oriented,focused,affectionate n jovial. Am humble n kind. I stay in Mombasa in Kenya bt ready to relocate to ur country if u wish. Contact me at ma,email:samuelmomanyi98@gmail.com or ma 4ne nos +254724034420 or FB A/C Sam M Jumavic n leave ur contact,there. The rest God will guide us.B blssd
 
sor dada umri miaka 30 inaonekana umezidisha sana na kila mwenye akili anajua kwa umri huo mpaka unaufikia na kwa SIFA ULIZOTAJA mpaka sasa utakuwa umepitia mambo mengi sana kwani MWANAMKE mrembo huwezi kukaa umri huo bila shaka utakuwa umeyajua mapenzi vya kutosha na hasara yake utakuja kuiona baadae si kwamba nakuponda bali naangalia sifa ulizosema na umri na kwa JINSI WATZ WANAVYOPENDA VIZURI JE UMETUMIKA KIASI GANI DADA ANGU HAINA MAKOMBO but inatia shaka 30 yrs ni umri mkubwa ukilinganisha na sifa zako zinazovutia.MUngu akubaliki umpate unaemtarajia na jichunge sana kwa sifa ulizosema wengi watakuwa na shauku ya kutaka kukujua zaid na watakuja wakionesha nia huku hamna kitu hivyo kuwa mwangalifu dada angu
 
2012 wakuu ... She is 32yrz now.... Kishakua bibi tayari.... Pigeni chini....
 
Deejay umeniuliza swali zuri sana,umeuliza nitawachujaje?kwa vigezo
nitaomba Cv zao,mwenye kuwazidi wenzake kwa vigezo vyangu ndo
atakuwa amejishindia mke mzuri mwenye mapenzi ya kweli na hatajuta
so bado nafasi zipo,ila angalizo ni lazima awe mkristo na pesa za kutosha
kwani na mimi si wa mchezo mchezo!

mi nina vigezo vyote ila unanitisha unavyokomaa na mambo ya hela......nimekuogopa kwa kuwa in the future nikitetereka kiuwezo utanikimbia au nitaibiwa na watakaokuwa nazo!..I am serious but I am sorry
 
nasema kuna uzuri wa facial na figure na uzuri **vyombo vyenyewe** infact mtu akisema mm nina sifa zote huwa ni jambo linalotia shaka sana
 
Back
Top Bottom