katika mahusiano ya kimapenzi, wanaume wanatawaliwa na mcho na wanawake wanatawaliwa na masikio. ndio maana hata katika hali ya kawaida anayeanza kutoa neno ni mwanaume na ina kuwa baada ya kuona. mwanamke hata kama akipenda pahala atafanya namna ambayo itamfanya yule anayempenda aanze kusema neno na yeye asikie lile neno tamu.