TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 25,009
- 11,394
..............:A S 109: what a:bored: thread1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume
yak!