Mwanaume amuua mpenzi wake gesti

Hahahahaha! Nna hakika bro nae kidogo azimie baada ya kukutana na marehemu anadunda lol...kumbe wakati mwingine watu wanaua bila kukusudia eeh? Nimecheka sana!... Sasa ya bro iliishia wapi?

Utamu ndo unao ua sisi umewahi sikia mara kibao mme kafa kifuani juu kwa mwanamke.
Yule dada alimtema kwa bro. akasema hana mapenzi ya dhati ameshindwa hata kumpepea
 
Utamu ndo unao ua sisi umewahi sikia mara kibao mme kafa kifuani juu kwa mwanamke.
Yule dada alimtema kwa bro. akasema hana mapenzi ya dhati ameshindwa hata kumpepea
Hahahaha! Kweli utamu ndio unaoua...khaa huyo dada nae anachekesha bro angetoa wapi hiyo akili ya kumpepea? Alichoona cha haraka ni kumtupa kabla hapajakucha lol...haya na nyie wanaume mkiona mdada analia sana muwe mnapunguza spidi bana, sa nyingine tunalia kwa maumivu ati!
 
Back
Top Bottom