Amuua mkewe mjamzito wa mapacha kisha ampasua tumbo na kutoa pacha mmoja na kumla

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Jeshi la polisi mkoani tabora katika wilaya ya uyui linamshikiria mwanaume mmoja kwa kisa la mauaji ya mkewe ambapo baada ya kumuuwa alipasua tumbo la marehemu na kutoa kitoto kimoja na kisha kukipika na kula

Inadaiwa ni imani za kishirikana .

USSR

===

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.

Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.

Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe," amesema Kamanda.

Jeshi la Polisi limesema linaendelea na upelelezi na mara ukikamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
 
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app

Mental health hii,,,, watanzania wengi wana kichaa
 
Hao ni wasukuma watu hatari sana!
 
ilisemwa baada ya corona kitakachofuata ni vampire!!
 
Back
Top Bottom