Tunajua malaria liyonayo haisikii dawa, lakini hiyo sio sababu ya wewe kuwa mpuu.zi kila wakatiKwani wewe Chama gani ? CUF au CHADEMA?
Shirikisha brain mkuuTunataka Serikali MOJA! Zanzibar mkoa!
Mbona mwanzo alimpinga mbunge machachari Tundu lissu kuwa muungano ni kiinimacho.....mi natamani uvunjike hata leo kwa sababu wazanzibar wamejaa sana huku na wanajaza ajira za Watanganyika
Mbona mwanzo alimpinga mbunge machachari Tundu lissu kuwa muungano ni kiinimacho.....mi natamani uvunjike hata leo kwa sababu wazanzibar wamejaa sana huku na wanajaza ajira za Watanganyika
Hivi kwani ni lazima kuungana? .Mambo ya uamsho yote haya ni alama za ku'expire kwa Muungano.
Tena nashauri muungano ukivunjika kuwe na miaka 10 ya MPITO ya kutowasiliana kabisa kwa pande hizi mbili, ili kila upande ujiweke sawa kama nchi huru. Boti zote zipaki, zibaki za Wavuvi tu. Kwanza hata ajali za kuzama ndugu zetu zisingekuwepo.
NASUBIRI KWA HAMU SANA KUIONA TANGANYIKA ILIYOKUWA IMEWEKWA MSUKULE KWA MIAKA TAKRIBAN 50!!
Na kundi hili la Kigaidi wakimaliza kupata uhuru walifute makundi mengi ya kigaidi kama hili la UAMSHO huwa yanatafuta kazi nyingine ya kuua watu kama ilivotokea Afganistan walivotumika akina Osama
kwani si wapewe nchi yao waende zao!
Ulishirikisha masaburi yako utakaa vizuri!Shirikisha brain mkuu