Mwanasheria mkuu zanzibar apasua jibu kuhusu muungano muda huu

Siku muungano ukivunjika ndo mwisho wa kumuenzi mwalimu nyerere. 7bu hakuna hata kimoja alichokianzisha kinaishi. Azimio la Arusha aliloliamini mwalimu liliwambwa msalabani 1992 pale zanzibar. Siasa ya ujamaa na kujitegemea inaishi kwenye katiba c miyoyoni mwa viongozi/watawala wetu. Na sasa muungano unaotembelea gongo, kuna kipi tena kitakachobakia alichokianzisha mwalimu? Cku muungano utaacha kuishi, ndio mwisho wa kumuenzi mwalimu
 
Anaesema muungano upo ujue huyo ni mwana ccm tena asiejua kitu ktk siasa za Tanzania, ama ni kiongozi asiyejitambua na kama uongozi wake kabebwa 2 hana uwezo kama walivo viongozi wengi wa ccm DHAIFU
 
Hivi kwani ni lazima kuungana? .Mambo ya uamsho yote haya ni alama za ku'expire kwa Muungano.
Tena nashauri muungano ukivunjika kuwe na miaka 10 ya MPITO ya kutowasiliana kabisa kwa pande hizi mbili, ili kila upande ujiweke sawa kama nchi huru. Boti zote zipaki, zibaki za Wavuvi tu. Kwanza hata ajali za kuzama ndugu zetu zisingekuwepo.
NASUBIRI KWA HAMU SANA KUIONA TANGANYIKA ILIYOKUWA IMEWEKWA MSUKULE KWA MIAKA TAKRIBAN 50!!
 
Na kundi hili la Kigaidi wakimaliza kupata uhuru walifute makundi mengi ya kigaidi kama hili la UAMSHO huwa yanatafuta kazi nyingine ya kuua watu kama ilivotokea Afganistan walivotumika akina Osama
 
Ha ha haaa, wakiongea akina Tundu Lissu kuwa muungano unaviraka kibao watu wanang'aka sana!
 
Mbona mwanzo alimpinga mbunge machachari Tundu lissu kuwa muungano ni kiinimacho.....mi natamani uvunjike hata leo kwa sababu wazanzibar wamejaa sana huku na wanajaza ajira za Watanganyika

ukiingia theatre ya mnh wako wengi kama nini. Warudi kwao!
 
Binafsi nataka Tanganyika yangu irudi na sioni tatizo muungano ukivunjwa.Wapitishe uamuzi wa kuvunja muungano kwenye vikao vyao vya baraza la wawakilishi kwanini wanakuwa wanafiki wanaongelea pembeni tu?
 
Mbona mwanzo alimpinga mbunge machachari Tundu lissu kuwa muungano ni kiinimacho.....mi natamani uvunjike hata leo kwa sababu wazanzibar wamejaa sana huku na wanajaza ajira za Watanganyika

Mimi ninaamini tunapoteza muda tu kujadili mchakato wa katiba mpya ya muungano. KURA YA Maoni kuhusu kuwepo kwa muungano ifanyike haraka kabla haijaja saa ngumu ya majuto. Watanganyika anzeni kudai Tanganyika yenu. Achaneneni na mchakato wa katiba ya muungano kwanza. Msimamo wangu ni kwamba siutaki muundo huu wa muungano. Kama ni muungano uwe wa serikali tatu. Tanganyika tunahitaji katiba yetu kwanza kabla ya mambo mengine. Muungano wa sasa na ufe kifo cha mende. full stop.
 
wavunje ata kesho wa2pe tanganyika ye2..kwan sisi 2nakla k2. Zenj wana kiwanda cha vbirt na kutengeneza mkaa2..na m sur 2kvunja nao watavyunja pemba na unguja. Liwao na liwe
 
Hivi kwani ni lazima kuungana? .Mambo ya uamsho yote haya ni alama za ku'expire kwa Muungano.
Tena nashauri muungano ukivunjika kuwe na miaka 10 ya MPITO ya kutowasiliana kabisa kwa pande hizi mbili, ili kila upande ujiweke sawa kama nchi huru. Boti zote zipaki, zibaki za Wavuvi tu. Kwanza hata ajali za kuzama ndugu zetu zisingekuwepo.
NASUBIRI KWA HAMU SANA KUIONA TANGANYIKA ILIYOKUWA IMEWEKWA MSUKULE KWA MIAKA TAKRIBAN 50!!

Muungano umebaki unapiganiwa na viongozi wa CCM na serikali waliopo bara, na ni kwa sababu moja tu. Hiyo ndiyo sababu pekee wanayo taraji kuitumia kuendelea kuhalalisha kutawala. Watu wenye akili timamu walianza kuona dalili za kuvunjika toka wakati wa Salmin, lakini viongozi wa CCM hawataki kukubali ukweli na kukimbilia kuzungumzia hoja mfu za Muungano wanazowiita kero.

Leo hii Uamsho wasingekuwa na nguvu ya kuongelea muungano na kuwa na ushawishi kama haya mambo yangejadiliwa kwa uwazi baina ya pande zote mbili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Na kundi hili la Kigaidi wakimaliza kupata uhuru walifute makundi mengi ya kigaidi kama hili la UAMSHO huwa yanatafuta kazi nyingine ya kuua watu kama ilivotokea Afganistan walivotumika akina Osama

Naombea muungano uvunjike leo mikelele ya huyo mwanasheria ya nini?.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom