Mwanasheria mkuu zanzibar apasua jibu kuhusu muungano muda huu

makitu

Member
Oct 19, 2009
6
5
Mwanasheria mkuu wa zanzibar asesema ukweli leo kuwa hakuna muungano adai yakuwa muungano upo tu kama kiini macho lakini kiuhalisia muungano haupo hilo kalisema leo katika semina ambayo inaendelea muda huu kwa waheshimiwa wawakilishi wa baraza la mapinduzi zanzibar. Tizameni ZBC ni live muda huu. Baadhi ya waheshimiwa wawakilishi wamekwisha changia ambao ni Raza, Mshimba Vuai Nahodha na Jussa ikihuacha Vuai wengine wanataka kesho watangaze mgogoro wa muunganoBaadhi ya mambo ambayo mwanasheria kazungumzia ni kuhusu ushikishwaji wa upande wa zanzibar katika mambo ya muungano kuwa ni kiini macho, akaunti ya pamoja toka ipitishwe mwaka 1996 hadi leo hakuna account hiyo wala utekelezaji wake, Raisi wa jamuhuru kumteua waziri mkuu bila kushauriana na makamu wa rais, pia kuwateuwa mawaziri bila kushauriana na makamu wa raisi, raisi wa muungano kuwa na kinga ya kutokushtakiwa kwa upande mmoja kwa kuwa mambo ya uhaini sio ya muungano na mengine mengi. Wanajamii Kila mtu kamsifu mwanasheria kwa kusema ukweli jana Mzee Hassani moyo alisema viongozi wa zanzibar miaka ya sasa ni waoga na wako kimaslai zaidi
 
Tanganyika kaeni tayari kufanya uchaguzi ,ili mupate raisi wenu mpya ,raisi wa Pili wa Tanganyika baada ya Nyerere.

Na sifikirii kama kapasua bali amelikamua jipu ,kwani jipu lishapasuka zamani sana ilikuwa bado kukamuliwa.
 
weweweeee! Haleluya ukivunjika hata sasa nachinja ngamia na kitimoto cjawatenga mashekhe wa bara.
 
Baadhi ya mambo ambayo mwanasheria kazungumzia ni kuhusu ushikishwaji wa upande wa zanzibar katika mambo ya muungano kuwa ni kiini macho, akaunti ya pamoja toka ipitishwe mwaka 1996 hadi leo hakuna account hiyo wala utekelezaji wake, Raisi wa jamuhuru kumteua waziri mkuu bila kushauriana na makamu wa rais, pia kuwateuwa mawaziri bila kushauriana na makamu wa raisi, raisi wa muungano kuwa na kinga ya kutokushtakiwa kwa upande mmoja kwa kuwa mambo ya uhaini sio ya muungano na mengine mengi. Wanajamii Kila mtu kamsifu mwanasheria kwa kusema ukweli jana Mzee Hassani moyo alisema viongozi wa zanzibar miaka ya sasa ni waoga na wako kimaslai zaidi

Account ya pamoja, Zanzibar inataka kuchangia kiasi gani kwenye hiyo account ya pamoja wakati hata bill ya umeme inawashinda?

Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ana uhakika kwamba rais hamkushirikisha makamu wa rais kwenye uteuzi wa mawaziri?
 
It seems they know what they want and now they are letting it flow freely....................tatizo la Watanganyika ni kuwa hamtaki kuunganisha dots au kuukubali ukweli...............muungano is no more
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mbona mwanzo alimpinga mbunge machachari Tundu lissu kuwa muungano ni kiinimacho.....mi natamani uvunjike hata leo kwa sababu wazanzibar wamejaa sana huku na wanajaza ajira za Watanganyika
 
Mh...kazi jipu walilojenga CCM linapasuka,
Mungu atuepushe tu naubishi wa CCM ili tusiingie katika machafuko ya kivita..
Wapewe Nchi yao Kwa Amani yote....
Swali:CCM watakubali lakini..?
 
Mwanasheria mkuu wa zanzibar asesema ukweli leo kuwa hakuna muungano adai yakuwa muungano upo tu kama kiini macho lakini kiuhalisia muungano haupo hilo kalisema leo katika semina ambayo inaendelea muda huu kwa waheshimiwa wawakilishi wa baraza la mapinduzi zanzibar. Tizameni ZBC ni live muda huu. Baadhi ya waheshimiwa wawakilishi wamekwisha changia ambao ni Raza, Mshimba Vuai Nahodha na Jussa ikihuacha Vuai wengine wanataka kesho watangaze mgogoro wa muunganoBaadhi ya mambo ambayo mwanasheria kazungumzia ni kuhusu ushikishwaji wa upande wa zanzibar katika mambo ya muungano kuwa ni kiini macho, akaunti ya pamoja toka ipitishwe mwaka 1996 hadi leo hakuna account hiyo wala utekelezaji wake, Raisi wa jamuhuru kumteua waziri mkuu bila kushauriana na makamu wa rais, pia kuwateuwa mawaziri bila kushauriana na makamu wa raisi, raisi wa muungano kuwa na kinga ya kutokushtakiwa kwa upande mmoja kwa kuwa mambo ya uhaini sio ya muungano na mengine mengi. Wanajamii Kila mtu kamsifu mwanasheria kwa kusema ukweli jana Mzee Hassani moyo alisema viongozi wa zanzibar miaka ya sasa ni waoga na wako kimaslai zaidi

Ilianzisha na Jakaya Kikwete; Ambaye wanamsifia kuwa ameaacha huru hawaingilii kama walivyokuwa Marais wengine

Sasa Labda hiyo Account iko USWISI
 
hata pale kinondoni 'davis corner,nina uhakika frame nitapata...vunjeni faster...au mnataka tingatinga niwapatie??
 
Hivi hawa watu tunawang'ang'ania wa nini? Nilisoma makala ya Lula wa Ndali Mwananzela kwenye Gazeti la Raia Mwema toleo la 250 "Kila la Kheri Zanzibar, bye bye Muungano". Ukweli ni kuwa hao mabwana wote ni waoga tu. Choko choko zote hizi wanazisemea ndani bila kufanya vitendo. Kwanini kwenye baraza lao la wawakilishi wasitunge sheria ya kura ya maoni kuhusu muungano?

Naungana na maoni ya bwana Mwananzela kuwa dawa yao ni watanzania bara, kudai Serikali moja wakati wa kutoa maoni ya katiba mpya. Tumewabembeleza kiasi cha kutosha na sasa ni wakati muafaka wa kuwaacha waende kwa amani watengeneze kisiwa chao kiwe kisiwa cha maziwa na asali. TUWAACHE WAENDE IMETOSHA, ndoa zinavunjika sembuse muungano!
 
Back
Top Bottom