Mwansheria Mkuu wa Zanzibar (Othman) amewatowa wasiwasi Wazanzibari kuwa Muungano unaweza kuvunji ikiwa Wazanzibari hauwaridhishi ktk muundo wake.
Alisema hayo ktk Baraza la Wawakilishi na kuwasisitiza baadhi ya makada wa CCM ambao wanawadanganya Wazanzibari kuwa muungano hauwezi kuvunjika. Pia aliongezea kuwa Wazanzibari wanatakiwa watoe maoni yao kwa kutaja moja baada ya jengine ambalo hawalitaki ktk muungano.
Vilevile aliwataka Wazanzibari watoe maoni ambayo yataikomboa Zanzibar ili iwe huru na hatimae Dola kamili.
source: ZBC (Radio Zanzibar,TVZ), Shirika la Utangazaji Zanzibar.