TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Daah..kweli dunia ni mapito..tutamkumbuka kwa nyimbo zake..ikiwemo mapenzi ni ya wawili na nataka niwe wako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom