TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Muda umefika hamna namna,


كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ ۗ وَإِنَّمَا تُوَفَّوْنَ أُجُورَكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۖ فَمَنْ زُحْزِحَ عَنِ النَّارِ وَأُدْخِلَ الْجَنَّةَ فَقَدْ فَازَ ۗ وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا مَتَاعُ الْغُرُورِ
Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu.
Mungu naye si ni nafsi, au ...


Jesus is Lord
 
Mungu naye si ni nafsi, au ...


Jesus is Lord
Wote watakufa, isipokua Allah peke yake atabaki.

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

اللَّهُ الصَّمَدُ
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ
Hakuzaa wala hakuzaliwa.

وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
 
Malori ya mchanga ni tatizo kubwa Sana ,pamoja na Yale ya kubeba mifugo , aisee haya madude ukikutana nayo stay away , alaf madereva wake always huwa wapo vifua wazi
Yeye ndio alilifuata Hino upande wa kulia...akitokea Norasko kiganboni
 
Back
Top Bottom