BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,768
- 23,186
Sawa...
Si kweli, ozil anafanya kazi dstv pale morocco, daah wabongo bana.Inasadikiwa kuwa Baba wa mototo ni Kinyozi BM Salon Kinondoni. Kila mtu na chaguo lake, kazi ni kazi.
Hata angekuw mzoa taka jmn haidhuru mapnz upofu kikubwa moyo uki accept bax linah mwnywe malkia wa nguvu pesa ya kubadilishia mboga c tatizo!!Inasadikiwa kuwa Baba wa mototo ni Kinyozi BM Salon Kinondoni. Kila mtu na chaguo lake, kazi ni kazi.
try to imagine, ni tabia gani hizo alizo nazo ambazo mtoto atakuwa anaziona na kuziiga? tuwe wakweli. au mfano mtoto wa wema, au mtoto wa wolper, watakuwa na wakati mgumu sana. watoto wengi hujifunza tabia kwa mama zao. angekuwa mwanaume tungesema babake angemuweka karibu ili awe mwanaume walau. hata hivyo sikufuru, Mungu amsaidie.Binadamu kwa kukufuru hamjambo,wale mashoga nao utasemaje wangezaliwa wa kike? Au wewe ungezaliwa wa kike maana una tabia za kidada dada
Msaada wa kunyoosha matege ya miguu kwa kitoto kichangatry to imagine, ni tabia gani hizo alizo nazo ambazo mtoto atakuwa anaziona na kuziiga? tuwe wakweli. au mfano mtoto wa wema, au mtoto wa wolper, watakuwa na wakati mgumu sana. watoto wengi hujifunza tabia kwa mama zao. angekuwa mwanaume tungesema babake angemuweka karibu ili awe mwanaume walau. hata hivyo sikufuru, Mungu amsaidie.