Ambwene Mwasonge amefanikiwa kupata mtoto wa kike

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
240
546
Msanii wa nyimbo za injilj Ambwene Mwasongwe ameweza kupata mtoto wa kike baada ya kukosa mtoto katika ndoa yake tangu mwaka 2017.

Hicho ndo alichokiandika leo kwenye mitandao yake ya kijamii. Hatimaye Mungu katujaalia mtoto wa kike. Sasa tunaitwa baba na mama Genesis.

Jambo ambalo tumekuwa tukiliamini muda wote ni hili "MUNGU HAMTUPI MTU".
 
.
1698232542961.jpg
 
Jamii Forum nimeipigia salute kwa kukatisha watu tamaa.
Yaani watu badala ya kupongeza na kushare furaha na mhusika aliyepata mtoto baada ya kumtafuta kwa muda mrefu watu wanakuja kuleta tafrani na kuleta taharuki.

Very bad attitude.
Binafsi sijawahi ona mtandao ambao watu wake wanaact hivi, mpaka nahisi wana JF wengi wamekata tamaa ya maisha, sorry to say this.
 
Kitanda hakizai haramu
Hiyo ndiyo hukumu ya uadilifu katika uislamu.Kuwa mwenye wivu sana na mkeo asitoke na hata asionekane na wanaume ovyo ovyo.Baada ya kufanya yote hayo akizaliwa mtoto weka tumaini huyo ni wa kwako na umpende.Hata asipofanana na wewe usihoji lolote.
Kwa vile hukuwahi kumuona mkeo na safari za shaka akitokea mtu mjinga mjinga akasema ni mtoto wake pigana naye umrarue kabisa asirudie upuuzi wake.
 
😁😁😁
Hiyo ni asili hata wazee wetu waliishi nayo na sometimes unaweza kuta. Mzee anaona mwanamke mwenye mtoto Ila mila zinamruhusu kumfanya mwanae kwa asilimia zote
 
Binafsi sijawahi ona mtandao ambao watu wake wanaact hivi, mpaka nahisi wana JF wengi wamekata tamaa ya maisha, sorry to say this.
Wengi ni washamba na malimbukeni. Ukiwa ndio mara yako ya kwanza kuingia JF unaweza ukachanganyikiwa. Jamaa ni much know lakini upstairs ni empty na wana fake maisha kama ambavyo wana fake ID.
 
Back
Top Bottom