Mwanamuziki Linah amejifungua mtoto wa kike

Ingawa hunijui lakini mtoto ni baraka. Mungu akukuzie angalau hukutaka ucelebrity kama wa akina wema miaka imeganda. wewe ni mama sasa Mfurahie mwanao na uone utamu wa kuitwa mama. all the best katika malezi na mwana umleavyo ndivyo akuavyo. Mfundishe kumcha Mungu maana ndiko zitokako chemchem za uzima.
 
Hatimae linah amuonyesha hadharan binti yake
 
bora tu angezaa wa kiume, asije chukua tabia zake tu.
 
Binadamu kwa kukufuru hamjambo,wale mashoga nao utasemaje wangezaliwa wa kike? Au wewe ungezaliwa wa kike maana una tabia za kidada dada
bora tu angezaa wa kiume, asije chukua tabia zake tu.
 
Binadamu kwa kukufuru hamjambo,wale mashoga nao utasemaje wangezaliwa wa kike? Au wewe ungezaliwa wa kike maana una tabia za kidada dada
try to imagine, ni tabia gani hizo alizo nazo ambazo mtoto atakuwa anaziona na kuziiga? tuwe wakweli. au mfano mtoto wa wema, au mtoto wa wolper, watakuwa na wakati mgumu sana. watoto wengi hujifunza tabia kwa mama zao. angekuwa mwanaume tungesema babake angemuweka karibu ili awe mwanaume walau. hata hivyo sikufuru, Mungu amsaidie.
 
Kwenda kule,wa kiume wangapi wamelelwa na hao baba lakini wameishia kuwa mashoga na mabasha. Toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kutoa kwa mwingine,utamu apate yeye,mimba abebe yeye, uchungu yeye, uje umpangie jinsia who are you?ka binadamu kenzangu usiyejua hata kesho yako ilivyo.
try to imagine, ni tabia gani hizo alizo nazo ambazo mtoto atakuwa anaziona na kuziiga? tuwe wakweli. au mfano mtoto wa wema, au mtoto wa wolper, watakuwa na wakati mgumu sana. watoto wengi hujifunza tabia kwa mama zao. angekuwa mwanaume tungesema babake angemuweka karibu ili awe mwanaume walau. hata hivyo sikufuru, Mungu amsaidie.
Msaada wa kunyoosha matege ya miguu kwa kitoto kichanga
 
Back
Top Bottom