Mwanamke umeolewa angalia marafiki wa kuwa nao

Wabhejah sana Emoj, kuna wasichana/ wanawake hawawezi kuishi bila marafiki which shows how dependant someone is! Suala la kujiamini kwamba umekamilika no matter the flaws wanawake wengi linawasumbua sana, kiasi kikubwa wanakuwa na marafiki ni wale ambao wamezoea kuishi kwa kuskiza opinion za watu, which is not bad lakini ikizidi sana ndio ile unakuta marafiki zako ndio wana run ndoa/mahusiano yako!!

“Fake friends; those who only drill holes under your boat to get it leaking; those who discredit your ambitions and those who pretend they love you, but behind their backs they know they are in to destroy your legacies.”
 
Wabhejah sana Emoj, kuna wasichana/ wanawake hawawezi kuishi bila marafiki which shows how dependant someone is! Suala la kujiamini kwamba umekamilika no matter the flaws wanawake wengi linawasumbua sana, kiasi kikubwa wanakuwa na marafiki ni wale ambao wamezoea kuishi kwa kuskiza opinion za watu, which is not bad lakini ikizidi sana ndio ile unakuta marafiki zako ndio wana run ndoa/mahusiano yako!!
“Fake friends; those who only drill holes under your boat to get it leaking; those who discredit your ambitions and those who pretend they love you, but behind their backs they know they are in to destroy your legacies.”

Well said mummy.
 
kweli kabisa mpendwa. hili nalo la kutotaka kunyonyesha et kisa boobs zitalala limekuwa tatizo kubwa


kwa sababu zikilala mnawatukana na hamuheshimu wamenyonyesha watoto.

wewe kama ni mwanaume unakuwaje na mwanamke mwenye marafiki wa ajabu?? masaa yote nikutembeleana?? usikae sebuleni na boxer na mkeo kanga moja watoto wakiwa shule kisa mashosti wamejazana kama wanamalizia tanga!!

piga marufuku ebooo! kama vipi wakija unakaa zako sebuleni na bukta fupi halafu wanapiga stori umemkumbatia mkeo hawarudi nakuambia wataona wivu ama unamuita room unaomba game wakao hapo wapige chabo
 
Kabla hamjakutana kila mmoja alikua na maisha yake na kuna maisha yanaendelea.
Ndoa sio sababu ya kuvunja uhusiano na marafiki zako... Ndoa zina changamoto zake kuna wakati tunawahitaji marafiki ili kujisahaulisha tu.
Ukiolewa sio sababu ya kuwamwaga rafiki zako ambao hawajaolewa, Ina maana siku akiolewa ndio utamfata kwenda kuendeleza urafiki au urafiki ndio umekufa?
Mwanamke epuka sana marafiki wa kukutana nao ukubwani kisa eti waume zenu marafiki au uko kwenye jumuiya sijui vicoba ukajifanya ushoga umeshika hatamu, yatakurudi.

Na wanaume msijidanganye eti mkeo ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya. MARAFIKI WANAFANANA. Alivyo rafiki wa mkeo ndio hivyo hivyo alivyo mkeo. Labda awe rafiki wa kukutana ukubwani.

Nimeandika sana nimechoka ila hayajaisha.
 
Mashosti muhimu tena uwe na rafiki wa kila aina: majambazi, mapolisi, machangu, walevi, wacha Mungu, wenye maendeleo, matajiri na maskini. Kila mmoja ana nafasi ya kukusaidia. Cha msingi uwe ma msimamo. Stand firm on what you believe. Na pia epuka washirikina kabisaa. Wengine wote halaal
 
Wanatoboa maskio mara mbilimbili ,marafiki zake wasioolewa waajabu,wamekaa kishangingishangingi
 
Wanatoboa maskio mara mbilimbili ,marafiki zake wasioolewa waajabu,wamekaa kishangingishangingi

Kutoolewa sio dhambi. Kumbuka hata yeye kabla hujamuoa hakua ameolewa lakini alikua na marafiki walioolewa. Kwahiyo nao ipo siku wataolewa kama walishavunja urafiki ina maana mtu akiolewa atafute marafiki wapya wa kisa wameolewa aachane na wa zamani?

Wakati mwingine tufikirie pia, hao marafiki zake wasioolewa katoka nao wapi wamepitia yapi. Walilia misiba yao pamoja huenda yote hukuwepo, walisherehekea pamoja furaha zao (nyingine hukuwepo nyingine ulikuepo labda mahari, harusi)

Wivu wa wanaume na ubabe wao usitufanye tuharibu mahusiano. Leo utakatazwa rafiki, kesho vicoba, keshokutwa Jumuiya.
Wanaume muwe waelewa jamani.
 
Umejibu nje ya nilichoongea hujajua nilichomaanisha,sisi wake za watu mara nyingi tumejiachia sana bila kujua status yetu,mtu kaolewa anakaa mpaka usiku hajarudi hajui watoto walirudishule au walilala hukohuko binti wa kazi asipojiongeza kujua cha kupika basi watoto watakula saa nne usiku,usisemee ushabiki tunawaona mpaka wanatafutiana wanaume ex boyfriends wanahusika sana na mara nyingi ndio mwanzo wa kusema mwenzio jinsi alivyo.Namjua binti mmoja aliwahikuwaambia shoga zake mme wangu hanenepi sijui kwanini hapati umbo la kibaba kilasiku anakua kama mtoto,mwisho ntaonekana namnyanyasa huko nikukosa adabu.na chanzo ni kundi lisilo hekima,kama hujaolewa pole ila sikukulenga wewe Pretty
 
Hapo Penye Kuwa Na Rafiki Anayeamini Katika Ndoa Kuna Mdada Mmoja Maarufu Sana Humu Umeshamdisqualify Kuwa Rafiki Yako.
She Fuckin Hates Marriage!
 
Lakini tuseme kweli tu...Siku hizi huwezi kuchakachua kati ya Marafiki Besti na Marafiki uchwara!!
Hata ukijifungia kwenye susu (cage) Utatupiwa vijimaneno au kutungiwa Storyz ili uweze kutoka na kujitetea !!!
Raha yake ni kuwa multi-frendi tu "wabaya unadeal nao na wazuri unaweka mipaka yako !!
NIMPENDENANI kuna mtu wakusalimiana Akher Zamani hii..?!!?
lol...
 
Back
Top Bottom