mwanamke reception babuuuuuuuuuuu

mwanamke unakuta mbele ka nyuma,nyuma ka mbele,yani anaenda ka anarudi.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa simo watakurukia wanakuaga na hasira sana hao
 
umenena vema ..........mambo vipi lakini
nakuona mdo mdo na makid yako manne huku mama mtu anakula lapa taratiiiiiiiiiiiiiiiiibu kwa pembeni yenu............nimeipenda sana hii mkuu

Nashukuru sana Aminata
Umeona wife hapo anakula vitu vya asili tu ngozi nyororo hatumii losheni wala haweki dawa nywele.
Nataka azae watoto 9 namfunga kizazi
 
Nashukuru sana Aminata
Umeona wife hapo anakula vitu vya asili tu ngozi nyororo hatumii losheni wala haweki dawa nywele.
Nataka azae watoto 9 namfunga kizazi
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa utamkomaza mwana wa mwenzio loh! jamani hao tu wanne ni wengi mnooooooooo au hujui jamani
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa utamkomaza mwana wa mwenzio loh! jamani hao tu wanne ni wengi mnooooooooo au hujui jamani

Mi nadumisha mila na desturi zetu baba alimzalisha mama watoto 11 mi nataka nilipe fadhira kwa kupiga mpaka 9 mtoto akianza kutembea napiga mimba si unaona walivyo pangana?
 
hilo shepu mi hoi uku..Aminata utaniua mwenzio!
mwanamke shepu,mwanamke mwendo babuuuuuuuuu
n.jpg
 
Attachments

  • imagesbbh.jpg
    imagesbbh.jpg
    5.4 KB · Views: 25
Mi nadumisha mila na desturi zetu baba alimzalisha mama watoto 11 mi nataka nilipe fadhira kwa kupiga mpaka 9 mtoto akianza kutembea napiga mimba si unaona walivyo pangana?
mwisho wa siku hutumii tena bike itabidi ununue fuso mkiwa mmealikwa kwa harusi au sherehe yoyote inayowataka mhudhurie wanafamilia wote hahaaaaaaaaaaaaa u made ma day
 
mwisho wa siku hutumii tena bike itabidi ununue fuso mkiwa mmealikwa kwa harusi au sherehe yoyote inayowataka mhudhurie wanafamilia wote hahaaaaaaaaaaaaa u made ma day

Hapo nampango wa kumata bajaj zile kubwa zinapakia mtu mpaka kumi
 
Back
Top Bottom