mwanamke reception babuuuuuuuuuuu

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukiitaji mfadhili am here any time

Poa poa nafikiri hata mpango wa kuanzisha NGO's ili mtusaidie watu wenye familia kubwa nitakupa ushirikiano ili muweze kunisomeshea hawa watoto
 
idara zote imetisha!
nimekusoma mkuu imagesg.jpg
 
Ha ha mambo Aminata?
Unajua nini?hiyo yote ni kutafuta kuwafurahisha wanaume.Kwa nini asiseme mwanamke ni kuwa mama mzuri kwa watoto wake.
mi mzima vp ww mpz mwaka mpya uliuonaje?
si wamjua isha mashauzi sizani ka anaweza kusema mwanamke ni kua mzuri kwa watoto wake hata siku moja i.jpg imagesy.jpg
atakua anasema ivo kisa anajiona anasura ila chini hana kingine kinashabihiana na sura yake mana chini mchina mtupu
imagest.jpg
 
Haya mambo ya mwanamke shepu, mwanamke sura siyataki kabisa siku hizi

Yalinikost sana sana
Niliropoka siku moja " mwanamke sura, makalio kwa mchina"

Afu kumbe neiba wangu nimemgusa 100% duh! aliwaka yule dada kama nimemtukania mzazi
Mie kimyaaaa.

Kila mkiongelea haya mambo ule mkasa unakuja kichwani upya.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa pole mwaya we!
 
Poa poa nafikiri hata mpango wa kuanzisha NGO's ili mtusaidie watu wenye familia kubwa nitakupa ushirikiano ili muweze kunisomeshea hawa watoto
bila shaka any time mkuu nitakua nawe bega kwa bega kuhakikisha wanaingia skul za kata wote
 
mi mzima vp ww mpz mwaka mpya uliuonaje?
si wamjua isha mashauzi sizani ka anaweza kusema mwanamke ni kua mzuri kwa watoto wake hata siku mojaView attachment 44501

View attachment 44502
atakua anasema ivo kisa anajiona anasura ila chini hana kingine kinashabihiana na sura
yake mana chini mchina mtupu
View attachment 44503

Ha ha mwaka mpya poa tunashukuru kuuona.

Mi waimbaji wa taarab wananifurahishaga kwa confidance.Kuna yule dada yake Mzee Yusuph ana maziwa kuliko ya Isha lakini anavaa mwenyewe anapendeza acha,Au Khadija kopa na body yake ana jiamini mbaya.
 
Ha ha mwaka mpya poa tunashukuru kuuona.

Mi waimbaji wa taarab wananifurahishaga kwa confidance.Kuna yule dada yake Mzee Yusuph ana maziwa kuliko ya Isha lakini anavaa mwenyewe anapendeza acha,Au Khadija kopa na body yake ana jiamini mbaya.
hahaaaaaaaaaaaa ndio hua mm nikiwasikilizaga nacheka mpaka basi bora hata marehemu nasma kidogo afazali ingawa alikua bapa kidogo kwa back
stay blessed ma dear nataka nikazimue kidogo mana.........ngoja nisimalizie
 
sasa ndio anakuambiaje isha mashauzi mwanamke sura mana hata ukiwa na umbo zuri utataka mwenzio awe nawe kwa bed huku kavaa sun glass hata kama ni night kali mradi tu asikuone sura ila mzigo anapiga ka kawa
Hatari lakini salama
 
mambo mpz vp mwaka huu uliupokeaje huko uliko mana duh!

mwaka shwari tu. Kwema huko. Kwa wenye reception za wasiwasi wanione. Nina mashavu ya kubandika, macho, pua, midomo hadi ulimi. Unakarabatiwa reception ukitoka hapo unakuwa binti mchangaaa!
 
Back
Top Bottom