Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
niko mbioni kumchumbia mwanamke mwenye watoto watatu. Nalog off
Wakati mwingine nafikiria bora hizi ndoa ziwe na katiba, mission, vision and objectives!!! LOL ili kuset a clear direction,, hahahaaaa
Hata hapa nimeileta kwa heshima kwani maoni yake yalinipa changamota ambazo niliona ni vizuri kushare, jamii forum is an open forum kufungua akili zaidi. natambua maana ya PM na ndio maana siwezi kumtaja katu, hata hivyo asante kwa kuliangalia hili kwa upande mwingine
he walewale, jibu nimeshakupa, sio ugomvi huu jamani!nijibu swali langu nililokuuliza......
Asanteni sana wadau kwa michango yenu kwenye my last thread titled "I have moved".
My heading is quoted from one of the PM nilizopata kutoka kwa wadau, mdau mwenyewe ni mwanamke.
Namshukuru kwa ushauri wake umenipa changamoto nzuri tu, lakini kutoka katika ushauri wake ambao ananiinstist nisitoke kwenye ndoa, nimeibuka na maswali.
sasa wadau nimejiuliza maswali mengi sana na kuona kuwa kweli watu wengi wanaishi maisha ya uongo,
- Ananiambia ni bora nirudi eti mimi mwanamke wa miaka 32 ndio kwanza mihemko inachanganyia nitaishia kuiba waume wa watu koz sitapata mwanaume aliye single
- Pili anasema eti nani atanikubali mimi na watoto wangu wawili bora nivumilie
- Tatu Heshima kwa jamii
Hivi ni nini hasa msingi wa ndoa??
Je ni Mapenzi??
Je ni Status kwa jamii
Au ni security ( kwa maana huwezi kupendwa tena pindi utakapotoka kwenye ndoa) au nini hasa??
Au kila ndoa ina msingi wake so katika maamuzi yapasa kuconsider msingi wa ndoa hiyo kwanza instead of kugeneralise?
Na je Tunaingia kwenye ndoa ili tuishi ama tunaishi ili tuwe kwenye ndoa? I mean kati ya ndoa na maisha nini kinakuja kwanza?
Theoretically uko right, lakini practically ndugu yangu,labda mama awe na uwezo wa kujitegemea mwenyewe kidogo, hivi hivi huu ni mwanzo wa matatizo mengine, society tuliyopo bado haijafikia huko wanakotaka hawa kina mama wengi wa sasa, wanajiita Independent women!Maswali mazurisana umeuliza kuhusu ndoa,pili,ubora wako hauwjaondolewa kwa kuzaa bali uko palepale,jiamini na ujithamini,kama ndoa inakutesa ondoka,wapo ambao watakuthamini kama ulivyo!