Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,255
- 18,046
Nimekosea nini? Changia hoja mezani acha kutaka kumjua mtu, ukweli ndio huo Ndoa sio mafanikio ya Mwanamke, somesheni watoto wenu kisha watoeni wakaione Dunia baadae huko watakuja kuolewaSi ajabu wewe ni katika waliokosea na sasa unaamua kuwapeleka chaka wenzako!
Mleta mada ametanabahisha tu, atakaetaka ajifunze asietaka apuuzie hakuna haja ya makasiriko.