Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

Kusema ukweli kuna kitu huwa inabakia kwenye kona fulani moyoni mwa mmoja wenu. Tena kama kashughuli kalikuwa kakubwa basi ni hatari wakikutana na kukumbatiana. Hazitapita siku utasikia tuu tayari wamecheza rafu.
 
Wacha wee
Na wale waliodondosha kwenye baiskeli?
 
Mhhhh!! Preta huko ni kuujifariji! Hasauliki mtu ng'o. Kumbuka kuwa tukio hili ni mojawapo ya remarkable events hivyo kama huwezi kulisahau bila shaka huwezi kumsahau mliyelitenda naye
 
kweli lizzy humkumbuki? Hata jina, sura, rangi....... Eeh?
Hahaha hiyo inawezekana nikilazimika kufanya hivyo ila siwezi kujikuta nimekaa nikaanza kumkumbuka tu bila sababu ya msingi...na hiyo ndo wanaiongelea wao!
 
katika hali halisi mwanamke anaolewa na wanaume watano, kuna mume wa ndoa, mume wa bikira, mume wa starehe, mume wa kuzaa naye watoto na mume wa mahitaji so take care. Kwa wanaume pia iko hivyo my dear.
 
Wewe mleta mada,
Huwezi kusema kitu kama hicho kikawa sahihi. Wanawake wengi hutolewa bikra bila ridhaa yao wenyewe na hivyo huwezi kusema wameletwa kwenye dunia ya mapenzi! Sitataka kamwe kumuenzi huyo mtu na ingewezekana ningemfuta katika historia ya maisha yangu.

Kwa vile inaelekea una dukuduku la kutaka kuju amwanamke anamkumbuka nani - kwa kifupi sana.. mwanamke hatamsahau mwanaume aliyeugusa moyo wake kwa namna ambayo hajawahi kuguswa hata bila kufanya kitendo chochote! Hivyo kaa chonjo.
 
atakumbukwa kama wengine walopita na si vngine! Na kama hakukupa raha ukipata anaekufikisha unakuwa na tendency ya kumdharau kuona si dume kitu isipokuwa suruali!
 
Wewe mleta mada,
Huwezi kusema kitu kama hicho kikawa sahihi. Wanawake wengi hutolewa bikra bila ridhaa yao wenyewe na hivyo huwezi kusema wameletwa kwenye dunia ya mapenzi! Sitataka kamwe kumuenzi huyo mtu na ingewezekana ningemfuta katika historia ya maisha yangu.

Kwa vile inaelekea una dukuduku la kutaka kuju amwanamke anamkumbuka nani - kwa kifupi sana.. mwanamke hatamsahau mwanaume aliyeugusa moyo wake kwa namna ambayo hajawahi kuguswa hata bila kufanya kitendo chochote! Hivyo kaa chonjo.

thanks kwa hili Tausi ndege! Mwenyewe 1st aliwahi kuntumia ujumbe na kunambia mi fulani nlichomjibu nilimwambia 'hakuna mtu nnaemchukia duniani kama wewe' alikoma toka siku hiyo na hata sihitaji kufahamu habari zake
 
Lakini unamkumbuka hivyo hivyo tu. Mi nadhani unaweza ukamkumbuka kwa jema ama baya alilokutendea.
 
Pengine wale wa enzi za akina babu. Kwa karne hi ya kwacha pengine habari zisikike eti jama aliye nionyesha juwa siutani kaonekana na wallet nzito. Hapo basi utakumbukwa
 
kiukweli wala hatuwakumbuki, binafsi nasahaugi kabisa hata kama huyo mtu anaexist in ths planet hahahaaaaaaa.... thats frankly speaking
 
Ni kweli kwa Karne hii ya Watoto HASA wa awamu ya TATU na NNE ni lazima DAIMA kutowasahau WALIO WABIKIRI kwa7bu ya KUJIHUSISHA NA NGONO katika umri mdogo sana ambapo via vya uzazi hata havija komaa. Hivyo KITENDO HICHO huwasababishia MAUMIVU na HATIMAYE HATA KUWAACHIA MAJEREHA YA VIA VYA UZAZI. Madhara mengine ni psychological effect kama kuhifadhi kumbukumbu mbaya akilini dhidi ya kitendo hicho na kukua nayo n.k.
 
Wewe mleta mada,
Huwezi kusema kitu kama hicho kikawa sahihi. Wanawake wengi hutolewa bikra bila ridhaa yao wenyewe na hivyo huwezi kusema wameletwa kwenye dunia ya mapenzi! Sitataka kamwe kumuenzi huyo mtu na ingewezekana ningemfuta katika historia ya maisha yangu.

Kwa vile inaelekea una dukuduku la kutaka kuju amwanamke anamkumbuka nani - kwa kifupi sana.. mwanamke hatamsahau mwanaume aliyeugusa moyo wake kwa namna ambayo hajawahi kuguswa hata bila kufanya kitendo chochote! Hivyo kaa chonjo.

Wewe ndo umenena. yn kama mtu nilishamuweka kumoyo hata kama hajanigusa aisee ni shiiiida.
 
Back
Top Bottom