Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

Mie simkumbuki na wala sitamkumbuka zaidi kipindi kile nilikuwa naomba apotee katika uso wa dunia
ila sasa kila mtu ana maisha yake atajijua huko aliko:smile-big:
 
Wewe mleta mada,
Huwezi kusema kitu kama hicho kikawa sahihi. Wanawake wengi hutolewa bikra bila ridhaa yao wenyewe na hivyo huwezi kusema wameletwa kwenye dunia ya mapenzi! Sitataka kamwe kumuenzi huyo mtu na ingewezekana ningemfuta katika historia ya maisha yangu.

Kwa vile inaelekea una dukuduku la kutaka kuju amwanamke anamkumbuka nani - kwa kifupi sana.. mwanamke hatamsahau mwanaume aliyeugusa moyo wake kwa namna ambayo hajawahi kuguswa hata bila kufanya kitendo chochote! Hivyo kaa chonjo.


Unaakili sanaa!!!!
 
Hivi kwanza kubikiri au kubikiriwa kuna raha gani? Manake sielewi kabisa watu kufanya hiki kitu kuwa big deal. Nimeshagawahi kuambiwa eti huwaga inauma...sasa kama inauma hicho nacho ni kitu cha kukikumbuka kwa nostalgia? Inavyosemekana wengine hutokwa hadi na damu which leads me to think it hurts...sasa what is so special or enjoyable about that? It's lunacy.

Nyani Ng'abu, hamna kitu hapo. Wala hata huwezi fikiriwa ninavohisi. Nishawahi kumtoa dada mmoja hiyo bikira miaka mitano iliyopita, alikuwa mluguru wa Moro, kwanza nilimuonea huruma sana sabu damu zilianza kumtoka, aliniambia hataki tena eti nimemuumiza sana. Though baada ya siku kadhaa, nilimgegeda tena. But hakuna raha hata kidogo.
Preta kasema ukweli, so kumtoa mtu ubikra, sio deal hata siku moja. Na kusahaulika mbona kupo wazi tuuu
 
Kama ni kweli basi kazi ipo, kwa maana ya kwamba nakumbukwa na msululu. Dah! lakini siku zote Maua hunyauka, hadithi huisha na kumbukumbu husahahulika, kwa sababu kila kitu ni cha kupita.
 
Back
Top Bottom