Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Haiwezekani, Labda kama ana matatizo ya kiafya!!!
Hivi mbona wafungwa wanavumilia jamani...
Haiwezekani, Labda kama ana matatizo ya kiafya!!!
na mimi kama mdada naomba niseme ukweli bila kuficha miaka mitatu ni mingi mno mimi ndio ningekua huyo mwanamke ningemueleza ukweli jamaa
Mkuu ulijuaje watu Ughaibuni hawaja mega? Una software nini?
...aaah, labda hivyo vigari vyenu ni vibajaji fulani hivi. naona hamjaona magari yenye fujo kama langu... likipita linaacha alama kwenye hiyo lami utafikiri kifaru au katapila la minyororo!!! vuruga vuruga tupu usipime