Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

Jana tulikua ktk kikao kisicho rasmi pale Landmark. Jamaa yetu mmoja kapata safari itakayomtenganisha na GF kwa muda wa miaka 3. Tukawa tunamtania kwamba ndani ya hiyo miaka mitatu kwa jinsi wanaume walivyo lazima atamega huko aendako. Mwingine akasema hata GF wamshikaji ktk kipindi chote hicho atakua kamegwa mara nyingi tu,eti wanawake hawawezi kuishi muda kama huo bila ku-"do". Hivi ni kweli jamani? Nilibishana nao sana kwani najua wanaume ndio sio wavumilivu ila wanawake mara nyingi hua wanao uwezo wa kuvumilia mambo hayo. Mwenye ukweli atupe please.

...la msingi ni kujiuliza sababu zipi zitazompelekea 'kumegwa', na kuna sababu ambazo hata iweje sio rahisi kushawishika 'kumegwa'.

Miaka mitatu si mingi kihivyo, tatizo nilionalo hakuna commitment yenye nguvu kati ya Mtu na Girlfriend tofauti na Mchumba, au Mke.
 
Kama hakuna vishawishi vya njemba kukufukuzia kila zinapokuona. Miaka mitatu bila kunanihii na mtu umezoea kufanya hivyo ni muda mrefu sana jamani.

Ni kweli kaka usemayo lakini tujiulize vichocheo vya ku-do huletwa na nini? pamoja na vishawishi kuna mawazo pia. Kama hujengi mawazo ya mapenzi, na unampenda kwa dhati mpenzio na pia unaheshimu utu wako kamwe hutatoka. Ndio maana nasema ni uamuzi tu.
 
Mwanamke ni mvumilivu kuliko mwanaume,jamaa awe mpole tuu ila akumbuke kumpa company demu wake via emails,simu,sms.
Wangu alimanage for 3 years ughaibuni na aliporudi nilimpa zawadi though sometimes huwa wasumbufu.
Ilifikia kipindi alipatwa na psychological problems wakashauri niende.

May be km ulimwacha virgin then ukamkuta vivo hivo
 
Vichocheo vya kumega ama kumegwa vinaletwa na mambo mengi baadhi yakiwa ya kimwili (hormones, mawazo, n.k.), mazingira, mahusiano (marafiki, ndugu, na jamaa), burudani na mengine mengi.

Sasa una miaka miwili hujamegwa. Una minyege kibao. Shosti wako anakuja kukusimulia jinsi yeye na njemba yake mpya walivyomegana hadi kufikishwa kunako. Lazima utapatwa na hamu flani ya kufanya na wewe.

Au unaweza ukawa umekaa nyumbani peke yako unaangalia muvi. Katika moja ya scenes kuna love making. Lazima wazo la kumegwa litakujia tu utake usitake. Na kama huna booty call basi huenda ukatumia toy kabla ya kwenda kulala au kama huna toy utatumia vidole kujiridhisha.

Mwisho wa yote hutatumia zana bandia muda wote. Ipo siku utataka kitu halisi na utaibia tu.
 
"Miaka mitatu bila kumegwa? No way bana...lazima atakuwa na matatizo ya hormone huyo. Akiwa yuko sawa lazima atamegwa na atajichezea sana...tena sana tu"

NOTHING IS IMPOSSIBLE WITH GOD AND TO THOSE WHO BELIEVE IN GOD
inawezekana - ni kiasi cha kuushinda mwili - mambo ya kumegana ni ya mwili - na ukitaka kuufurahisha mwili ndio hivyo .................. ina maana jamaa walikuwa wanavunja amri ya SITA?? wanafanya dhambi ya uzinzi?? ndio hasara hiyo .............otherwise angekuwa saa hivi anaongelea habari za "wife" sio "GF" - kama Walizoeshana mambo hayo na walifanya bila kumhofu Mungu WOTE WAWILI WATAVUNUJA AMRI YA SITA - OTHERWISE WATUBU NA KUMRUDIA MUNGU ILI ROHO YA UAMINIFU IINGIE NDANI YA MAISHA YAO; NA HATA WAKIWA MBALI MBALI - NGUVU YA MUNGU ITAWAFUNIKA - 3 years si mingi ukilinganisha jinsi masaa, siku, miezi na miaka inavyoondoka. Na pia tunda mojawapo la UPENDO ni UVUMILIVU

...huku kuchezeachezea maumbile na mahitaji yetu ya kimwili kama vile Mwenyezi Mungu alivyokusudia iwe katika kutuumba mimi naona ndiyo huko kuingia majaribuni na kwenda against God's will.
 
Mimi nina wasiwasi na huyo mwanakaka.Yeye ndio yupo kwenye hatari kubwa ya kumtosa mwenzake akishazoea huko aendako.Wanaume kubadilika ni rahisi kweli.Asije akamwacha dada wa watu anavumilia miaka 3,na kukataa wachumba ,muda unazidi kwenda hatimaye anarudi jamaa na maiwaifu mwingine.
Bao3 pamoja na kumtia moyo rafiki yako,mwonye pia asije akamchanganya akili dada wa watu.

Sawa mkuu nitamwambia. Thanks for your good advice buddy.
 
Last edited:
mfano mzuri ni kuwa nanihii siyo sabuni kwa hiyo haimaliziki we poa tu mtakutana mungu apendapo ila wanawake na hata wanaume wana uwezo ila funga tu mara mbili kwa wiki utashinda tamaa
 
ah! yaani i didnt want to comment lakini basi tu...kwani huyo rafikiyo hawezi pia kuamua kuto****na ankokwenda? yeye mbona mwenzake asiwe na wasiwasi??? this conversation is one sided and very chauvinistic!

Infact this came from a chauvinistic meeting if you can put it. I said we met at Landmark as a group of male friends, ktk kikao kisicho rasmi. In the first place,if you read btn the lines,I mentioned that some guys joked him that he is going to "do" it. Ndipo wengine wakasema hata mchumba wake atamegwa kwani miaka 3 ni too much for a woman. That was the irony! Since all the members in that gathering were men I thought I should come here to get inputs from both sides. I want to believe that, at times, women do also meet and discuss issues as women(crack jokes and lots of funny stories there could be discussed concerning men and other businesses that concern both men and women). That is not being chauvinistic. It is just group dynamics. Peace my dear!
 
Ni kweli kaka usemayo lakini tujiulize vichocheo vya ku-do huletwa na nini? pamoja na vishawishi kuna mawazo pia. Kama hujengi mawazo ya mapenzi, na unampenda kwa dhati mpenzio na pia unaheshimu utu wako kamwe hutatoka. Ndio maana nasema ni uamuzi tu.

Yeah kuna wengine mme na mke wanakaa au wanaishi miaka 4 mpaka 5 bila kumegena kwa sababu ya GUBU
 
umh! Thread hii inaumiza mioyo ya wengi. But kwa amtumainie Mungu yote yanawezekana.
 
Kwa kawaida kama mwanamke alishawahi kumegwa hawezi kukaa hata mwaka mmoja bila ya kumegwa. kuna factors kibao zitakazomfanya ajisikie kumegwa, na factor kuu ni biological.
 
Ni kweli kaka usemayo lakini tujiulize vichocheo vya ku-do huletwa na nini? pamoja na vishawishi kuna mawazo pia. Kama hujengi mawazo ya mapenzi, na unampenda kwa dhati mpenzio na pia unaheshimu utu wako kamwe hutatoka. Ndio maana nasema ni uamuzi tu.


MJO, nawajua wadada (majuu) ambao baada ya 'kuumizwa' katika mapenzi waliamua kutonanihii kwa kipindi cha miezi 12 au hata zaidi kama maamuzi ya kuondokana na machungu yliyowakuta katika mapenzi, lakini baada ya miezi 10 hivi wengi walianza kulalama kwamba wanahamu sana ya kunanihii lakini hawana haja ya kuwa kwenye relationship. na siku hizi uzuri wa mtandao unaweza kujitafutia mtu mkananihii halafu kila mmoja akashika 50 zake. Ninachotaka kuonyesha hapa ni kwamba hata wale waliofikia uamuzi wa kutofanya kwa mwaka mzima aua zaidi mwaka tu uliwawia vigumu mno kuutimiza sasa fikiria miaka mitatu.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanaweza kuvumilia hata zaidi ya miaka 5 bila kufanya mchezo wa mapenzi. Ila kwa mwanaume ngumuuu!!!!! Wanaume wachache sana wanaoweza kuvumilia.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanaweza kuvumilia hata zaidi ya miaka 5 bila kufanya mchezo wa mapenzi. Ila kwa mwanaume ngumuuu!!!!! Wanaume wachache sana wanaoweza kuvumilia.

Pretty, hiyo asilimia kubwa ni ngapi na umeitoa wapi?
 
Mmh pretty...yaani five years, with out previous history of being hurt...basi tu imebidi katika kutafuta maisha kutengana? Hebu tueleze ilikuwaje na sie tujifunze....
 
Back
Top Bottom