Mwanamke anategemea kupata 'hiki' kwenye uhusiano!

Sio kwamba hawatosheki
Ila Maslaw's hierachy of human needs inawahusu sana

Ndio maana mie huwa naamini, kuna baadhi ya wanawake bila baba mwenye nyumba kuwa na udikteta hata 0.02% familia haiendi
Mtaweka priority za ajabu ajabu na kusahau ya msingi
unajua very well mlivyo wanawake wa siku hizi...
hamtosheki......hata mpate malaika....
 
Sio kwamba hawatosheki
Ila Maslaw's hierachy of human needs inawahusu sana

Ndio maana mie huwa naamini, kuna baadhi ya wanawake bila baba mwenye nyumba kuwa na udikteta hata 0.02% familia haiendi
Mtaweka priority za ajabu ajabu na kusahau ya msingi

kwani ya msingi ni yapi?remember men are physical oriented bt women are emotional oriented,nisaidie kuelewa hapo
 
Is it? Mwalimu wangu wa kiswahili alinidanganya??

Asante.
kongosho na wengine niwaeleweshe hiyo
methali inakosewa mno kutamkwa na kuandikwa
usahihi ni 'mjaa asili haachi asili'
sio mjasiri.....
 
Unahisi unatosheka, sababu mwanamme uliyenaye anakupa kiasi hicho alichoamua kutoa.
Asipokuwa na kiasi akafuata emotions zako
Ndo utajikuta siku zingine 'baby leo usiende kazini, ukienda nakumiss sana'
wakati kuhalisia hiyo kazi ndo inaweka chakula mezani.

Mama Isaac umelonga dada, lakini hii ni kwa wanaume hawa hawa wa bongo au ni kwa jili ya wanaume wa taifa jingine. Kwanza saa ngapi utampata ili umueleze hizo shida au mtaniane, aache kupita rose garden kuongea utumbo pale aje kwako? ndio maana siku hizi wanawake raha wanajipa wenyewe, wanaume hawaonekani, hata wakionekana kauli nzuri mdomoni hakuna. Nikukoroma humo ndani kila mtu ajue baba kawahi.
 
mie sihitaji mwanaume understanding....nahitaji dume litakalofanya maamuzi yake rough rough....bila kunishirikisha na kunidunda ninapokosea otherwise akijidai kunielewa na kunionea huruma nitamdharau...lol
 
hahahaa ni ngumu wengi 2natamani kupata hayo bt 2naishia kuyaona kwnye tamthilia but inawezekana wakiamua,hawa wanaume zetu hawa loh! Mungu 2 atusaidie.
 
Unahisi unatosheka, sababu mwanamme uliyenaye anakupa kiasi hicho alichoamua kutoa.
Asipokuwa na kiasi akafuata emotions zako
Ndo utajikuta siku zingine 'baby leo usiende kazini, ukienda nakumiss sana'
wakati kuhalisia hiyo kazi ndo inaweka chakula mezani.

aah jaman co emotions kihivyo,kwenye mambo ya msingi kama kazi lazma mwanamke awe muelewa
 
na mkishapata Mwanaume mwenye sifa hizo mbona hamtulii?
kuna wanawake ana wanaume hata watano na wote ni very understanding...
but akija wa sita pia 'anakula kichwa'......hamtosheki siku hizi...
hata tuwe vipi.......
Duh..!, ina maana huwa wako kikazi zaidi..
 
mie sihitaji mwanaume understanding....nahitaji dume litakalofanya maamuzi yake rough rough....bila kunishirikisha na kunidunda ninapokosea otherwise akijidai kunielewa na kunionea huruma nitamdharau...lol

u must be very unique lol
 
Ili uhusiano wowote uwe endelevu kila mmoja anapaswa kuelewa na kutimiza mahitaji ya mwenzake. Mahitaji haya hutofautiana kati ya m/mke na m/mme but a woman's primary need is emotional.
Mwanamke aingiapo kwnye uhusiano hutegemea kupata;
1) Rafiki wa kweli atakayeweza kumshirikisha kwny mambo yake,kutaniana nae,kucheka nae na atakayempenda na kumuheshimu..
2) Mwenzi atakayevutiwa na jinsi alivyo kwa kila kitu
3) Mwenza wa kusota nae maisha yake yote yaan wacheke na kushangilia pamoja wakati wa raha na kusaidiana wakati wa shida.
4) Hutegemea mwenza wake aweze kusimama vizuri kwenye nafasi yake na mwenye msimamo katika majukumu yake
5) Mwanamke hutegemea mwenza wake atakua tayari kumckiliza kwa makini pindi akuelezapo jambo
NOTE:Mwanamke akikueleza tatizo lake sio lazma anataka ulitatue!sometimes women seek 4 sympathy &undestanding..
Kama ni m/ume hebu jiulize hua unampatia mwenza wako alichokitegemea kabla ya kua na wewe?
Kama ni m/mke kama hujapata ulichokitegemea umechukua hatua gani?

Women are funny animals, you will never know with them.
 
kama alikupata Rose garden kwa nini asiendelee kwenda sebuleni kwake?

Mie hapo ndo husema wanawake hawaishi kwa uhalisia.
Kama unataka mwanamme wa kupenda kukaa nyumbani tafuta wa aina hiyo.
Sasa kama mlikutana bar, leo unamkataza kwenda bar, it doen not make sense to me.

Mama Isaac umelonga dada, lakini hii ni kwa wanaume hawa hawa wa bongo au ni kwa jili ya wanaume wa taifa jingine. Kwanza saa ngapi utampata ili umueleze hizo shida au mtaniane, aache kupita rose garden kuongea utumbo pale aje kwako? ndio maana siku hizi wanawake raha wanajipa wenyewe, wanaume hawaonekani, hata wakionekana kauli nzuri mdomoni hakuna. Nikukoroma humo ndani kila mtu ajue baba kawahi.
 
asante, asililize ushauri wa mwanamke na kuufanyia kazi
ila awe mfanya maamuzi wa familia

kudundwa, nope!

mie sihitaji mwanaume understanding....nahitaji dume litakalofanya maamuzi yake rough rough....bila kunishirikisha na kunidunda ninapokosea otherwise akijidai kunielewa na kunionea huruma nitamdharau...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom