Mwanamama huyo tapeli anaishi Oysterbay karibu na Coco Beach, muumini wa Kanisa la Mbunge/Dkt/Mchungaji lililopo Mikocheni.
Anatabia ya kupata mali kiujanjaujanja kwa kuwalaghai watu kupitia kanisa hilo analoabudu, anapenda kwenda mahakamani na kuwahonga wahusika, anatabia ya kufukuzisha watu kazi endapo hawatamuunga mkono mpango wake kwa kuwahonga maboss vijisenti nk, ni mtaalam wa kufoji dokuments hasa zinazohusu mambo ya ardhi/nyumba na mambo kibao mengi.
Wizara ya ardhi ameshawaliza wengi na natumaini kuna wengine wanadeal nae hadi sasa, mahakamani wanamfahamu utadhani jaji.
Tahadhari kwa wanaokutana nae wawe makini sana. Mimi binafsi namfahamu kwa kuwa ameshamfanyizia binamu yangu miaka miwili iliyopita na ninasikia mambo hayo bado anayo.
tupatie jina lake mkuu, mbona walihifadhi???
watu watakuwaje na tahadhari wakati huyo mtu hajulikani..?? Weka jina umaliza mambo kwani jf tangu lini ikawa na mapazia..!!! Hapa tupo kwa ajili kuwekana sawa, zama za watu kufanya usanii wakizani wao ni welevu zaidi na wengine wote mazuzu umekwishapita.
Atakuwa Nambua Mlaki!
Atakuwa Nambua Mlaki!
Unamfahamu yupi?Mkuu unatania au uko serious?! Labda si NAMBUA MLAKI ninayemfahamu mie!
HajanikoseaTafadhali mwana eeh, huyo kawakosea nini, au ndiyo nuru ya mdomo asipomtajwa siku haiishi? Si umeshambiwa hapo kuwa ni Fauzia Mahmud.
atakuwa nambua mlaki!
Atakuwa Nambua Mlaki!
Atakuwa Nambua Mlaki!
Duh mshkaji Mpendeka, umenikumbusha machugu ya huyo mama.
Namfahamu kiasi kutokana na utapeli/ulaghai wake.
Anaitwa Fauzia Jamal Mohamed, anamiliki kampuni kibao ikiwepo moja inaitwa EBONY, sifahamu makao yake makuu.
Ebwanaeee..!!!! huyu mama ukikutana nae anga zake na ukiwa katika nafasi yenye maslahi yake anakugeuza kama mwanae mradi tu afanikishe lengo lake. Hivi juzi juzi nilikutana nae Moshi mjini sijui kama hajamliza mtu huko maana namwogopa sana. kwa kufoji nyaraka ni mtaalam, kwa kuhonga wanaohusika ni mwenyewe, kwa kupenda kesi ndo usiseme.
Sijui anategemea nini hapa duniani.
Nimeshtushwa zaidi kusikia ni muumini wa kanisa maarufu la kilikole la Mh/Dkt/Mchungaji Lwakatare hapo Mikocheni Dar es Salaam.
Duh watu wawe makini nae kweli
Huyu nae vipi au ndio hao hao
Unahisi itakuwaje?Ukidandia treni kwa mbele inakuwaje?