Mwanamama tapeli jijini Dar es Salaam

Mpendeka

New Member
Nov 8, 2008
4
0
mjihadhari sana wadau hasa vijana wenye post bomba bomba kwenye hela/ankara banks in particular
 
Last edited:
Mwanamama huyo tapeli anaishi Oysterbay karibu na Coco Beach, muumini wa Kanisa la Mbunge/Dkt/Mchungaji lililopo Mikocheni.

Anatabia ya kupata mali kiujanjaujanja kwa kuwalaghai watu kupitia kanisa hilo analoabudu, anapenda kwenda mahakamani na kuwahonga wahusika, anatabia ya kufukuzisha watu kazi endapo hawatamuunga mkono mpango wake kwa kuwahonga maboss vijisenti nk, ni mtaalam wa kufoji dokuments hasa zinazohusu mambo ya ardhi/nyumba na mambo kibao mengi.

Wizara ya ardhi ameshawaliza wengi na natumaini kuna wengine wanadeal nae hadi sasa, mahakamani wanamfahamu utadhani jaji.

Tahadhari kwa wanaokutana nae wawe makini sana. Mimi binafsi namfahamu kwa kuwa ameshamfanyizia binamu yangu miaka miwili iliyopita na ninasikia mambo hayo bado anayo.

watu watakuwaje na tahadhari wakati huyo mtu hajulikani..?? weka jina umaliza mambo kwani JF tangu lini ikawa na mapazia..!!! hapa tupo kwa ajili kuwekana sawa, zama za watu kufanya usanii wakizani wao ni welevu zaidi na wengine wote mazuzu umekwishapita.
 
tupatie jina lake mkuu, mbona walihifadhi???

Mjasiriamalishupavu,
Naye huyo mama anajiita mjasiria mali kumbe wengi wanalizwa. mama mwenyewe chotara sijui mzungu/mzaramo, mwarabu/msambaa, mhindi/mmakonde.
Jina la kiislam ila anasali kwa Mheshimiwa Mbunge/Dkt, ukihudhuria kanisa lile utamkuta ni kati ya waheshimiwa sana hapo church kwa michango ya hela anayotoa ambayo ni mali za waliolizwa.

Nimejulishwa hivi punde kuwa anazisaka nyumba za taasisi mbalimbali hapo jijini kwa kuwarubuni maafisa wahusika.
 
watu watakuwaje na tahadhari wakati huyo mtu hajulikani..?? Weka jina umaliza mambo kwani jf tangu lini ikawa na mapazia..!!! Hapa tupo kwa ajili kuwekana sawa, zama za watu kufanya usanii wakizani wao ni welevu zaidi na wengine wote mazuzu umekwishapita.

phausiya mahmoud
 
Mimi naamini kama hizo tuhuma ni za kweli serikali itakuwa imemchukulia hatua madhubuti vinginevyo sijui maana kwajinsi alivyo elezewa huyo mama itakuwa kachukuliwa hatua kama yupo uraiani basi mawili la kwanza hizi tuhuma si za kweli la pili polisi watakuwa wameshindwa kutekeleza wajibu.kingine nijuacho ni kwamba makanisani kama unakosa lolote unatengwa maramoja. Jaribuni kutafakari
 
Atakuwa Nambua Mlaki!

Kumbe ndiyo haya Maziwa GT anataka kuyapata ya BURE badala ya kulipa? :)....... Upsss, Nambua Mlaki huu ni UTANI tu wala usijali. GT kashakufanya uwe maarufu humu kama JOE the Plumber. Ndiyo bahati mbaya au nzuri. Mzee Mlaki heshima mbele na nina sababu zangu nyingi tu. Hivyo hata mwanae heshima vilevile.......
 
image002.jpg

Huyu nae vipi au ndio hao hao
 
WADAU EEHHH!!!!
Nimezidi kuzipata kuhusu huyo mama TAPELI hapo jijini Dar es Salaam.
Ni chotara wa Kichaga(Machame) na Mwarabu,
Anaishi nyumba ya kupanga ila anamiliki nyumba kibao,
anatembelea gari dogo nadhani ni Rav4 silver, wakati mwingine Lexus ya cream, na mara moja moja ameonekana na Range Rover nyekundu,
Ni mwongeaji sana,
Haishi na mumewe, yupo alone alone,
Mara nyingi anaonekana Barclays Bank Ohio sijui ni Bank au anaofisi pale.

Please mwenye details zaidi kuhusu huyo mwanamama atujulishe.
 
Duh mshkaji Mpendeka, umenikumbusha machugu ya huyo mama.
Namfahamu kiasi kutokana na utapeli/ulaghai wake.
Anaitwa Fauzia Jamal Mohamed, anamiliki kampuni kibao ikiwepo moja inaitwa EBONY, sifahamu makao yake makuu.

Ebwanaeee..!!!! huyu mama ukikutana nae anga zake na ukiwa katika nafasi yenye maslahi yake anakugeuza kama mwanae mradi tu afanikishe lengo lake. Hivi juzi juzi nilikutana nae Moshi mjini sijui kama hajamliza mtu huko maana namwogopa sana. kwa kufoji nyaraka ni mtaalam, kwa kuhonga wanaohusika ni mwenyewe, kwa kupenda kesi ndo usiseme.
Sijui anategemea nini hapa duniani.
Nimeshtushwa zaidi kusikia ni muumini wa kanisa maarufu la kilikole la Mh/Dkt/Mchungaji Lwakatare hapo Mikocheni Dar es Salaam.

Duh watu wawe makini nae kweli
 
Duh mshkaji Mpendeka, umenikumbusha machugu ya huyo mama.
Namfahamu kiasi kutokana na utapeli/ulaghai wake.
Anaitwa Fauzia Jamal Mohamed, anamiliki kampuni kibao ikiwepo moja inaitwa EBONY, sifahamu makao yake makuu.

Ebwanaeee..!!!! huyu mama ukikutana nae anga zake na ukiwa katika nafasi yenye maslahi yake anakugeuza kama mwanae mradi tu afanikishe lengo lake. Hivi juzi juzi nilikutana nae Moshi mjini sijui kama hajamliza mtu huko maana namwogopa sana. kwa kufoji nyaraka ni mtaalam, kwa kuhonga wanaohusika ni mwenyewe, kwa kupenda kesi ndo usiseme.
Sijui anategemea nini hapa duniani.
Nimeshtushwa zaidi kusikia ni muumini wa kanisa maarufu la kilikole la Mh/Dkt/Mchungaji Lwakatare hapo Mikocheni Dar es Salaam.

Duh watu wawe makini nae kweli

Umesema anaitwa "Fauzia Jamal Mohamed" sasa anakwenda kutafuta nini huko mikocheni B kwa huyu mama mchungaji/ Dkt. kazi ipo manake wasifu wa huyu mama naona ni kama unaendana na ule wa huyo mwenye church niliwahi kusoma huko awali. watu wawe makini huenda ni business parters na katiak hali ya kupeana mbinu mbali mbali za kufanya na kufanya kazi kwa niaba ya...
Bongo kweli noma.
 
image002.jpg

Huyu nae vipi au ndio hao hao

Du jamani angalia polisi wetu walivyochoka. Ndio maana dada huyo mmoja tu polisi watano na askari magereza wawili. Du this is world, jamaa wanaofanya kazi ya kulinda uslama wa tanzania wako hao kuliko wanaofanya kazi ya kutuibia watanzania.
 
tupe tip basi mshikaji ili tuweze kujihami vinginevyo ulivyoelezea iko wide mno. Angalau anafanya kazi wapi.

nmiku.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom