Mwanamama aliyekabwa, kubakwa na kuchomwa kisu arejea nchini na kusamehe yote

Owh! Kwenden zenu huko, mitanzania minafki sana ona yaliyokoment hapo juu yanavyojikomba kujifanya hayapendezwi na hicho kitendo. Kwan watanzania wangap wamefanyiwa unyama hapa Tz na wala hamjawahi kulaani hivi? Kwan watanzania wangap wanafanyiwa unyama huko ughaibun na hamjawahi kulaan hivi? Na wala Serkali za huko haziwakat waharifu wanaowanyanyasa watu wenye asili ya Afrca? Akifanyiwa mzungu mnajipendekeza kulaan lakn akifanyiwa mweusi mnaunga mkono shenzytaip. Mijitu mizima mmekuwa wanafki.
Eti anatoa misaada nani kawadanganya? Mzungu yoyote hana cha kupoteza pasipo kugain hapa dunian.
Hivi mnafikir hizo hela alizokuwa anatumia kwenye hyo ,misaada mnafikir alipewa na baba zenu?
Mzungu mtu mbaya na mnafiki sana
What a comment. Kwa hiyo kwa kuwa wako Watanzania ambao wamewahi na wanaendelea kufanyiwa huu unyama tuupongeze? Akili za ajabu sana hizi.
 
Hili tukio lingeweza kutokea nchi yoyote na yanatokea hata nchi zilizoendelea. Ndio maana wageni huwa wakiingia nchini wanapewa Taarifa maalum kutokana na sehemu hatarishi,mida ya kuwa sehemu hizo na nini cha kufanya endapo utajikuta hatarini. Wengi wao hawa so called volunteers ni majasusi kutoka nchi zao au wapo hapa nchini kwa kazi maalum na sio kujitolea parse.

Kwa hiyo hiyo mleta mada kwa huu Uzi unamaanisha sisi Watanzania ni Wanyama kutokana na hilo tukio au mantiki haswa ilikuwa ni nini!!!???
I think you have a wrong perception of volunteers...na ni hatari.
Kwa wenzetu walioendelea suala la kujitolea,na hasa kusaidia maskini huwa ni kipimo chako cha utu.Na ndio maana wengi wanaojiweza kifedha huunda foundations au wakfu na kusaidia maskini kupitia ''outreach programs'' duniani n.k. Lengo lao''to leave a mark''.Kwamba sehemu ya maisha yake aliitumia kusaidia binadamu wenzie. Ukifuatilia c.v. za hawa wenzetu huwezi kukosa kipengele cha volunteering.Lazima kiwepo. Suala la ujasusi lipo kote duniani,hakuna asielifanya, cha msingi ni kujilinda ,na si kumdhania kila mgeni ni jasusi.
 
Haya wale walo suggest balozi wa India afukuzwe hapa nchini waje sasa na suggestion balozi wa Tanzania huko Canada atimuliwe basi! Haya masuala hayatatuliwi kwa kutimuliana mabalozi jamani!!!
 
Sana..binadamu kama huyu mama kwa kizazi hiki tulichonacho nafikiri wanahesabika.ni wachache sana.
Umeona e...

Asilimia kubwa ingekuwa kulipiza kisasi.

Sababu mimi mwenyewe tu hapa, sina hata jeraha moja.

Halafu wewe uje nipa mimi jeraha kirahisi rahisi.

Hapana siwezi kubali, lazima nile na wewe sahani moja.

Kivyovyote vile, lazima nimalizane na wewe ambae umenipa jeraha
 
I think you have a wrong perception of volunteers...na ni hatari.
Kwa wenzetu walioendelea suala la kujitolea,na hasa kusaidia maskini huwa ni kipimo chako cha utu.Na ndio maana wengi wanaojiweza kifedha huunda foundations au wakfu na kusaidia maskini kupitia ''outreach programs'' duniani n.k. Lengo lao''to leave a mark''.Kwamba sehemu ya maisha yake aliitumia kusaidia binadamu wenzie. Ukifuatilia c.v. za hawa wenzetu huwezi kukosa kipengele cha volunteering.Lazima kiwepo. Suala la ujasusi lipo kote duniani,hakuna asielifanya, cha msingi ni kujilinda ,na si kumdhania kila mgeni ni jasusi.
Soma vizuri uelewe ndio unijibu. Usikurupuke Kama umechomwa na mwiba kunako. Wanaupima UTU baada ya kuwanyonga Watu weusi miaka ya nyuma!!??? Au wanaupima UTU baada ya ubaguzi wa rangi wanaoufanya!? MTWANA siku zote atakuwa MTWANA.
 
You don't even deserve my reply..S.O.B.
 
What a comment. Kwa hiyo kwa kuwa wako Watanzania ambao wamewahi na wanaendelea kufanyiwa huu unyama tuupongeze? Akili za ajabu sana hizi.
Soma uelewe. Anasema hivi: Unyama ni unyama, unapotendwa kwa binadamu yoyote inapaswa ulaaniwe. Anatuasa tusikae kimya tunapoona mtanzania amefanyiwa unyama halafu hapo hapo tulaani eti kwa sababu amekuwa mzungu. Kuna kina mama wengi wa kitanzania wanabakwa, tulaani tunaposikia sawa na tulivyolaani huyu mzungu alivyobakwa.
 
Kuna Mtanzania alitendewa unyama humu nchini ikafahamika watu wakanyamaza au kufurahia? Sijawahi kuona?
 
Sijasema hawapo. Nimeuliza swali. Usiniweker maneno.
mwanafunzi aliebakwa Arusha,watu wengi walikuwa wanabisha sana humu na kushabikia kwamba alipenda mwenyewe, huo n mfano mdogo wa Mtz aliebakwa halafu watu wakawa wanahoji yao na kumwona mwanafunzi huyo mwongo.
 
Back
Top Bottom