Mwanamama aliyekabwa, kubakwa na kuchomwa kisu arejea nchini na kusamehe yote

Dah!!! Sijui kama wale waafrika wanaoishi huko canada watasalimika! Hasa watanzania...
Hii habari imeenea Canada..watanzania tunaonekana kama mashetani flani hivi.
Waziri anaehusika atoe kauli juu ya hili.huyu mama anarudi nchini karibuni.Nafikiri atafurahi akikuta wahusika wote wameshikwa. mbakaji pamoja na waomba rushwa katika kesi hii mbaya.
 
Kwa kweli poleni maana hii inatia kichefuchefu.
 
Hivi wale mabinti waingereza waliomwagiwa tindikali huko Zanzibar waliishia wapi? Na wao walikuja kwa kujitolea kufundisha watoto lugha ya kiingereza. Majamaa MAPUMBAVU yakafanya UPUMBAVU.
 
Hivi wale mabinti waingereza waliomwagiwa tindikali huko Zanzibar waliishia wapi? Na wao walikuja kwa kujitolea kufundisha watoto lugha ya kiingereza. Majamaa MAPUMBAVU yakafanya UPUMBAVU.
acid2_3442705b.jpg

Nafikiri unawaongelea hawa. Katie Gee na Kirstie Trup. Gee alijiunga chuo kikuu,huyu mwingine sina habari zake.Picha hii ni kabla hawajamiminiwa tindikali.
 
Pole ndugu yangu..taarifa nd'o hizo. Lakini anarudi..usihofu. Ila mumlinde asifanyiwe vitendo visivyofaa tena.
Ndiyo maana siku muona muda sana nikajua labda yupo mkoa mwingine kumbe ngosha alishafanya yake nakumbuka alituambia ata huko wanapoenda kujenga shule watu wanataka pesa tu paka atuuliza Tanzania tupo aje yeye anajitolea watu wanataka pesa tu sijui nchi gani huyo mpuuzi aliye mbaka ingefaa anyongwe
 
Hili tukio lingeweza kutokea nchi yoyote na yanatokea hata nchi zilizoendelea. Ndio maana wageni huwa wakiingia nchini wanapewa Taarifa maalum kutokana na sehemu hatarishi,mida ya kuwa sehemu hizo na nini cha kufanya endapo utajikuta hatarini. Wengi wao hawa so called volunteers ni majasusi kutoka nchi zao au wapo hapa nchini kwa kazi maalum na sio kujitolea parse.

Kwa hiyo hiyo mleta mada kwa huu Uzi unamaanisha sisi Watanzania ni Wanyama kutokana na hilo tukio au mantiki haswa ilikuwa ni nini!!!???
 
Owh! Kwenden zenu huko, mitanzania minafki sana ona yaliyokoment hapo juu yanavyojikomba kujifanya hayapendezwi na hicho kitendo. Kwan watanzania wangap wamefanyiwa unyama hapa Tz na wala hamjawahi kulaani hivi? Kwan watanzania wangap wanafanyiwa unyama huko ughaibun na hamjawahi kulaan hivi? Na wala Serkali za huko haziwakat waharifu wanaowanyanyasa watu wenye asili ya Afrca? Akifanyiwa mzungu mnajipendekeza kulaan lakn akifanyiwa mweusi mnaunga mkono shenzytaip. Mijitu mizima mmekuwa wanafki.
Eti anatoa misaada nani kawadanganya? Mzungu yoyote hana cha kupoteza pasipo kugain hapa dunian.
Hivi mnafikir hizo hela alizokuwa anatumia kwenye hyo ,misaada mnafikir alipewa na baba zenu?
Mzungu mtu mbaya na mnafiki sana
 
Back
Top Bottom