Mwanaisha Raj... Umepatwa na Nini Mrembo? Tukusaidiaje?

Wadada siku izi ni biashara

Katika 100% walio pure decent ni 3%(nikiwemo mimi) . . .wengine gusa unate

Mapenzi ya sasa ivi ni money and the power(kuwa na pesa umiliki vitu vizuri)
Sema hakyamungu hapo kwenye bold...:p:p
 
You spoiled the moment,dah! Ungemsaidia kukamilisha ndoto yake kisha ukauliza maswali baadae. Au umeoa? Hata ukirudi tena,haitanoga kama alivyokusudia mwanzoni kukusurprise.
 
Lait wangepatikana wanaume kama wewe japo 10 tuu kweli dunia ingekua salama.. hongera mkuu kwa kuonyesha uanaume shupavu...sio kizipu chako unakifungua kwa kila mwanamke.
 
Wadada siku izi ni biashara

Katika 100% walio pure decent ni 3%(nikiwemo mimi) . . .wengine gusa unate

Mapenzi ya sasa ivi ni money and the power(kuwa na pesa umiliki vitu vizuri)
Hahahahahaaaaaa.... Shikamoo JF
Humu ndani hata wanipige BAN ntarudi tuuu..

hingeraa aisee joanah
 
Sa kama mtu ana nyege unataka akuvutie muda wa kazi gani? Ukifanya leo ukifanya mwakani vyote umefanya tu.... Ndugu nyege hazivumiliki
Mbona sodoku kazivumilia?Mi mke wangu anatosha na kama hayupo nikizidiwa ntapiga PUNYETO kuliko kujitafutia mikosi na magonjwa.
NB;Mwanamke aliyeachwa na wanaume zaidi ya wawili ni mkosi na ni laana,tatizo jeuri na kujiona wazuri sana wakati kuna wanawake wazuri wa sura,maumbo na tabia na wanajiheshimu na wavumilizu.

#I LOVE YOU SO MUCH MY WIFE
 
Sa kama mtu ana nyege unataka akuvutie muda wa kazi gani? Ukifanya leo ukifanya mwakani vyote umefanya tu.... Ndugu nyege hazivumiliki
Mbona sodoku kazivumilia?Mi mke wangu anatosha na kama hayupo nikizidiwa ntapiga PUNYETO kuliko kujitafutia mikosi na magonjwa.
NB;Mwanamke aliyeachwa na wanaume zaidi ya wawili ni mkosi na ni laana,tatizo jeuri na kujiona wazuri sana wakati kuna wanawake wazuri wa sura,maumbo na tabia na wanajiheshimu na wavumilizu.

#I LOVE YOU SO MUCH MY WIFE
 
Wadada siku izi ni biashara

Katika 100% walio pure decent ni 3%(nikiwemo mimi) . . .wengine gusa unate

Mapenzi ya sasa ivi ni money and the power(kuwa na pesa umiliki vitu vizuri)
Nimependa sana jinsi ulivyoji-exclude
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom