Mwanaisha Raj... Umepatwa na Nini Mrembo? Tukusaidiaje?

Sa kama mtu ana nyege unataka akuvutie muda wa kazi gani? Ukifanya leo ukifanya mwakani vyote umefanya tu.... Ndugu nyege hazivumiliki
 
Hv Majuzi tu, imenikuta hali kama hii nilichomeka mzizi wote bila kinga, ilikuwa the tamu sana cha faster tena chumbani kwake, tatizo najuta sikutumia kinga, natamani kurudia na yupo tayari kwa mechi kamili, ila sasa napata mawazo sana
 
Mimi kabla sijawazoea wanawake nilikuwa nadhani nawatia nuksi na mikosi. Maana kila niliyekuwa naanzisha nae uhusiano,basi ndani ya week lazima mdogo wake afukizwe shule sababu ya ada,mama yake aumwe or aporwe hela zote na vibaka.

Na hayo yote gharama zilikuwa zinaelekezwa kwangu.

Wanawake hawa,acha tu.
 
Hongera kwa kukwepa hicho kizingiti, huo ndio uanaume, sio kwa vile kajileta unamlala tu.

Miaka wanaume inabidi tuwe makini, tunatongozwa sana tu huku kwamnyamani.
 
Sijafaham tatizo nini lakini kwa hili wimbi la wanawake wa sasa kuwayawaya kama Tanga lililokosa Nahodha magonjwa yatakuwa mengi sana. Huyu dada nmefahamiana naye siku chache sana kwa kumpa Lift kama mara mbili tatu hivi nikimkuta kituoni ambako huwa napita kumpitia jamaa yangu. siku ya kwanza nilimkuta amesimama na nimchukua jamaa yangu naye nikamwambia apande. siku nyingine tena. mara ya tatu akaweza kunisemesha baada ya jamaa yangu kushuka. akaomba na namba ya simu.

weekend hii akanialika kwake kwa kuwa alikuwa na birthday akanambia nipite kumsalimu. nilikuwa napita maeneo hayo sikuwa na hiyana. nikapita kwake. nikakuta wapo na wenzie wa kike watano wa na jamaa wawili. basi ikawa wakat wa kulishana keki akataniwa mlishe bwana wako uliyemleta leo kututambulisha. yule dada mwanaisha hakukataa kuwa mi si bwana ake, akacheka na kunilisha kimahaba. kama masikhara akanibandika na kiss mdomoni huku amenikumbatia. nilipigwa ganzi kwa kweli.

baada ya muda watu wakawa wanaaga na yeye alisisitiza nibak kwanza nimsaidie kufungua zawad. sikutaka sana kukaa lakini nilishawishika kutokana na kunibembeleza kwake na ukichukulia ni dada wa haja hasa wa Kitanga,mzuri,ana rangi,sura na sauti ya kudeka.anajua kubembeleza. baada ya kumaliza kufungua zawadi yule dada akawa ameenda kujaribu nguo chumban. akaniita niende kumsaidia kufunga zip.sikujua, sikujua.kumbe ndani hakuvaa kitu.kama alivyozaliwa yaani mtupu kabisa. basi nikajikaza na kumfunga zip baadaye akanambia nimfungue kwenye kuvua.... maskin mimi. nlishindwa na hali iliyokuwepo mle ndani nikatoka nje nikihema na kuweweseka moyoni. nikaenda kuwasha gari nikajiondokea huku nikiwa ktk hali mbaya sana. akawa akinipigia simu nikamwambia nlikimbia coz sikuwa na uwezo wa kujizuia na hatukujiandaa kwa sex.

leo nimekuja jifunza wadada wa sasa wamekuwa warahisi sana.

1.ukifahamiana na dada kwa sasa ndani ya week moja anaweza kukuomba umsaidie au umkopeshe pesa. hii imetufanya wanaume tuwe waoga sana kuzoeana na wadada
2. ukifahamiana na mdada kwa maisha haya ndani ya siku 3 unaweza ukasex naye. sasa unajiuliza mpaka hapo amesha sex na wangap kwa kasi hiyo ya 4G?
3. wadada wa sasa si waoga kuomba ombea pesa ndan ya siku mbili tu utasikia naomba 20,000 au 50,000, au atakueleza amepatwa na janga umsaidie pesa. na wamekuwa wabunifu sana wa kutengeneza majanga ya kuwaonea huruma.


dada mwanaisha ni mzuri, ni mzuri sana ana miaka 30 hajaoelewa. kwa nini? ni dada mzuri sana kusema ukweli. najiuliza ni nini kimemsibu huyu dada? alikusudia nini kwa siku ya jana kutaka kunishawishi tufanye mapenzi tena si salama? mwanaisha ....umepatwa na nini dada?

dada zangu tulieni mtapata waume.wala hamna haja ya kuwashawishi kwa style hiyo. sikatai kuna mapenzi unaweza mpenda mtu.ni jambo jema ila weka heshima tafadhari.

MKUU,
WEKA PICHA KWANZA ILI TUTHIBITISHE!

 
We utarudi tu uje utuambie ukienda kumvalisha tena usilite visingizio cjui kuombwa hela mara majanga mwisho.thread mbili kwa moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom