Mwanaisha Raj... Umepatwa na Nini Mrembo? Tukusaidiaje?

Wadada siku izi ni biashara

Katika 100% walio pure decent ni 3%(nikiwemo mimi) . . .wengine gusa unate

Mapenzi ya sasa ivi ni money and the power(kuwa na pesa umiliki vitu vizuri)
Zamani mimi nilikiwa namjua miss chaga tu, kwamba yeye anachojari ni pesa tu, kwani alisha tangaza hivyo. Sasa hawa wengine imekuawaje?
 
We jamaa Sodoku una wazimu kweli yaani unakimbia utamu. huwaga utamu haukimbiwi ata siku moja kimbia weee utarudi tu cha maana mtafute ule mzigo alafu badili na njia kabisaaa
 
aiseee... yaaani ushauri wenu wadau najaribu kwa kina kuufikiria hapa.... leo nlipita late sana though alinitafuta asubh nikamwambia leo nachelewa kwenda job.ni ukweli kuwa nlichelewa. ila sijui hata tukionana atasemaje. but suala lipo mwanamke mzuri hasa nina uhakika nikichukua wanaume 10 nikawaambia wamwangalie na watoe maoni 8 watasema ni mzuri kama si wote 10. lakini ana miaka 30 hajaoelewa na hana mchumba why?
 
Huyo dada bila kificho si kuwa amekupenda kimapenzi. Labda hujajua hesabu za wadada, ukiachilia tabia ambayo hujaiweka wazi hapa yawezekana hujajua tabia zake maana pia hujapata jibu kwanini hajaolewa hadi leo.

Uwezekano mkubwa upo kuwa huyo dada ameshatendwa kwenye mahusiano yake ya nyuma na sasa hahitaji mahusiano laah anahitaji mtoto. Hapo ndo ugumu huwapata wadada, azae na nani? Hataki mbegu yoyote tuu lazima achague. Ukipata nafasi ya kuongea nae anaweza kukwambia amekuwa akikufatilia siku nyingi ili tuu aanzishe mahusiano feki nawe na kisha apate mbegu zako kisha basi anakupotezea mazima.

Wako waschana wengi sana wa namna hii, unakuta anajitegemea kama huyo anaishi mwenyewe na anajimudu kimaisha hategemei mtu. Hivo anatafuta mwanaume wa maana au mwenye utashi sio mlugaluga au mvuto bange ili azae nae.

Asilimia kubwa hiyo siku haikuwa siku ya kuzaliwa ya huyo dada, hao anaoita rafiki zake waweza kuta ni marafiki feki, na huyo mwanaisha siku hiyo yawezekana alikuwa siku hatari ukimwona ndani tuu mimba inatungwa. Hivo wewe umemnyima mtoto na kama lengo lake ni hilo, atakupangia siku za kufanyana hatafanya siku yoyote tuu (iwapo utamjaribu upange nae mechi siku ambazo hatungi mimba).

Kama hatafuti mtoto basi yuko malindoni, sponsor wake katumbuliwa na hapo anatafuta sponsor mwingine aendelee kumuweka town. Ukiwafahamu wanawake kiundani na kuishi nao kwa akili.... watakufunulia mengi sana na utashangaa....
Umenifundisha kitu mukubwa sana.. Thanks
 
POINT
 
Wadada siku izi ni biashara

Katika 100% walio pure decent ni 3%(nikiwemo mimi) . . .wengine gusa unate

Mapenzi ya sasa ivi ni money and the power(kuwa na pesa umiliki vitu vizuri)

Dah! Yaani kusoma tu hii post yako mkuki wangu uliokwishaota kutu baada ya kutoutumia muda mrefu umeshtuka! Itabidi niunoe aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom