MwanaHalisi, Tz.Daima, Dira,Raia Mwema, Mwananchi yafungwa mdomo kuhusu Manji

Miaka inaenda inarudi inaenda mapaka tunachoka.. Sijui hii kesi itaisha lini?
 
watu wengine bana
jitu linaendelea kukutafuna wewe
unaliambia dume hahahahaq
hakujui we endelea kumsifia tu
na mkikutana road anakutimulia
mavumbi na kama vipi anakumwagia mimaji michafu
hawanaga ndugu hasa hawa
wadosi wanatuona kama nyani tu
!!! endelea kumshabikia mwnamume mwenzio kuwa ni dume
asa we sijui ni jinsia ipi



Mdosi dume huyo, anajiamini sana. safari hii lazima wamlipe nyingi tu.
 
Mbaya hata wakivunja katiba watashinda kesi Tanzania, kesi ikienda mahakama ya kimataifa na kusikilizwa ngoma itakuwa nzito. Hasa baada ya mwezi May mwaka huu UN waliweka access to internet is a basic fundamental human right. Ndio maana najiuliza sijui hii movie itaishiaje kwani wanavyoviomba vyengine vigumu sana kutekelezeka labda kwa ubabe na vitisho. Na vikiwa hivyo basi wajiandae kwenda kwa Ocampo maana INTERNET ACCESS IS FUNDAMENTAL BASIC HUMAN RIGHT.<br />
<br />
Ila watu wasisahau in every right comes with responsibility na moja wapo kujiepusha na kumchafua au kuchafua jina la mtu, image au reputation yake especially kama huna evidence na unayoyasema.
<br />
<br />
Jamani tayari Manji ameshafungua na kupata pungamizi dhidi ya Kubenea na Mwanahalisi katika mahakama za Temeke, Kinondoni na Morogoro na alichoomba ni sawa kabisa na alichoomba dhidi ya watu wanane aliotaka wafungwe midomo ila alichoongeza ni mitandao yote kutomuandika bila kibali chake. Huyu kijana anaamini kwamba kila mtu ana bei na anaweza kununua yeyote hata mahakamani, lakini Majaji wamemshitukia na wameona sasa too much.
 
Alichofanya Manji ni preemptive strikes; DPP ndio yuko matatani hajui afanye nini na Manji. Hatua yoyote ikichukuliwa dhidi ya Manji ni maxima izingatie hizi kesi.
 
Mahakama si ndio chombo cha kutoa haki? Basi Manji anafanya vema kuitafuta haki mahakamani. Mwisho wa siku tutajua nani muongo ama mkurupukaji. Manji amechukua njia sahihi

Ha ki nii ipi mkuu sio mara zote mahakama zinato haki. mahakama zetu zinatoa hakikwa uzingati mambo machache sana na zaidi zinaaangalia hizo "sheria" . Ndio maana wajanja wajana kama kina Manji wanahaikisha hata wakiiba wako ndani ya legality. Hap ndio wanasheria wetu na viongozi wetu wanshindw kubalansi kati ya legal responsibility na moral repsonsibility.

soma hiki kisa na mfano

Bibi ana mihela mingi benki . Bomba lake limeharibikaa ndani . Anamuita fundi fundi kucheki anagundua tatizo anamwambi bibi tatizo lilio ni miloni moja na nusu(1,500,000) . Bibi anampigia kijana wake anamwambia kuwa amepata fundi na tatizo litagahrimu milioni moja sabbau kijana wake yuko mbali anamwamabia bibi yake hela si unayo bibi anasema ndio.

Bibi anakwenda benki na fundi anataka kutoa milioni moja . kwa kuwa mhundumu wa beni wanamjua wanshangaa wanamuuliza bibi za nini anasema bomba lake limeharibika. Basi mhudumu anapiga simu Polisi kuwa bibi anataka kuibiwa na tapeli.

Polisi wanakuja nanamchukua jamaa na yule bibi. Wanapokweda polisi Bibi anasema yeye kakubaliana kabisa na jamaa hiyo milioni moja na hana tatizo. Wanakwenda nyumbani kwa bibi wataalam wataalaam wa ufundi bomba wanagundua hata kifaa gharama ya juu kabisa hata angezidisha mara mbili na ufundi wake ilitakiwa izizidi laki mbili...........

So kisheria hapo jamaa hana makosa sababu ni kama ana mkataba wa maneno na bibi na bibi kakiri
Kimaadili ya taaluma jamaa ana makosa sabbau kampunja au kamdhulumu mteja wake......... .

Kesii hii moja uamuzi wa mahakama ya Tanzania unaweza kutofautina na uamuzi wa mahama za wenzetu .

Sasa hapo haki ni ipi.? Hivyo ndivyo ina Manji na wajanja wengine wanachomoa eti sababu "sheria" au wanasheria wanatafsiri sheria nusu nusu....
 
chess-move.png

Its the time now to play the Next Move!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

The game in progress,before the hunted gets !!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
vitu kama hivi ingekuwa Marekani manji angekuwa amegalagazwa hata kabla ya court hearing.
Amendment 1 of the US Constitution - Freedom of Religion, Press, expression Ratified in 12/15/1791

Congress shall make no law respecting an establishment of religion, or prohibiting the free exercise thereof; or abridging the freedom of speech, or of the press; or the right of the people peaceably to assemble, and to petition the Government for a redress of grievances.
 
Sitashangaa kusikia mahakama imemkubalia Manji ombi lake. Ni aibu kwa taifa kuona wezi wa Kagoda wanadunda mitaani na kujiona wao ndiyo wenye nchi.

USHAURI WANGU

Jifunzeni kwa kuangalia matukio katika nchi nyingine. Hakuna utawala wa milele. Yuko wapi Gaddafi "Mfalme wa wafalme"?

CCM ikiondoka madarakani mtakimbia nchi???
 
watanzania tulivyo tutahamisha huko akili zetu zote wakati kuna mambo kama katiba mpya yakujadili
 
Kuna Watanzania wenzetu wanatanua na wanakula maisha kwa kuwalinda na kuwatetea kwa nguvu zao zote kina Manji. This is serious maana wengine ni watu wanaoheshimika na kuaminika sana, lakini wajue wanaonekana, wanajulikana na wataumbuka maana Watanzania wa sasa si wa mwaka 47 na si mabwege tena
 
Duh huyu mdosi anatuchezea sasa azui hadi mitandao akafie huko hiyo siyo haki hata kidogo ingekuwa mahakama ni yake sawa ila hapo atagonga mwamba
 
Alichofanya Manji ni preemptive strikes; DPP ndio yuko matatani hajui afanye nini na Manji. Hatua yoyote ikichukuliwa dhidi ya Manji ni maxima izingatie hizi kesi.
Mkuu! hapa sijakuelewa, unaweza kufunguka zaidi? hebu changanua tena ili tukusome mzee wetu
 
Kwa taharifa ambazo ninazo (lakini siziamini sana) inasemekana hili bifu lote ni kati ya wakili wa zamani wa Manji ambae ameamua kutoka kwa Manji
na kwenda kufanya kazi kwa mbaya wa Manji ( R.Mengi wa IPP) kisa cha kutoka kwa manji kwenda kwa mengi ni bw.Manji kukiuka makubaliano ya
mkataba wao katika malipo yao ya kuteteana kwenye sheria. So huyu wakili alipo fika kwa Mengi akamwaga siri zote ikiwemo za kagoda mezani pa
bw. Mengi....kilichofatia hapo ni hii picha tunayoiona kimuendelezo hapa sasa. But my self niko upande wa msemakweli na mzee mengi,huyu wakili
simkubali sana kwani ni ndumila kuwili na Manji ni mtu wa kupigwa lisasi na kufa tu
 
Ukiona mlevi hataki ama anashindwa kuinuka toka kitini,ila anaomba watu wampishe elewa kuwa K.a.j.i.n.y.e.a yaani kafanya "pupuling" katika nguo zake.
 
Back
Top Bottom