MwanaHalisi, Tz.Daima, Dira,Raia Mwema, Mwananchi yafungwa mdomo kuhusu Manji

We have now lost all our dignity as a country!!!!!!!!!!!!!!! pambaf!!!!!!!!!!
 
Hii movie tamu ila kusema katika mitandao watu wasizungumze au kusema itakuwa ngumu. Sensitisation of information to the public contradicts with fundamental human right of information concerning matter of national interest (UN Charter of Human Rights). Unless if such information aimed at ruining someone image and reputation with lies and unsubstanciated accusation they can be prevented but if it something true and concern a wider public like Kagoda I sincerely doubt whether that is possible.

We are watching this nice movie :drum:
 
Hii movie tamu ila kusema katika mitandao watu wasizungumze au kusema itakuwa ngumu. Sensitisation of information to the public contradicts with fundamental human right of information concerning matter of national interest (UN Charter of Human Rights). Unless if such information aimed at ruining someone image and reputation with lies and unsubstanciated accusation they can be prevented but if it something true and concern a wider public like Kagoda I sincerely doubt whether that is possible.

We are watching this nice movie :drum:

Hiyo tu inaonyesha ni jisnsi gani watu wa aina ya Manji wanavyojidanganya kwamba wako tht powerful and influential kiasi kwamba wanaweza kuingilia personal liberties za watu wote. Yaani jamaa anaitisha mpaka katiba........ kweli bongo tambarareeeee!
 
Marekani kuna sheria inayomlinda say umemuibia mtu halafu unatumia hela zake zile zile kutafuta some gd lawyers kuleta utetezi. Lakini all in all huu ni uthibitisho kwamba Hawa jamaa si kututafuna tu bali pia hawawaogopi wananchi, wala dola kwa kisingizio cha sheria hizo hizo CCM inajidai inafuata misingi yake. This is ridiculous, stupid and unbelievable, upuuzi huu huwezi kuufanya nchi nyingine yeyote inayofuata misingi ya kisheria kiukweli ukweli na si maigizo kama tunayoyaona hapa.Waliosema bongo tambararereeeeeeeeeee wala hawakukosea. Hv ile njia nyingine kwa nn haitumiki? UWT wako wapi? Nadhani sasa watu wakiambiwa madhara ya rushwa na ufisadi mifano hai wanaiona.

Nilikuwa naipenda sana ile shaeria ya " KWA MANUFAA YA TAIFA TUNAKUFILISI AU TUNAKUWEKA KIZUIZINI" mimi sijui sheria lakini paomja na kwamba ilikuwa inatumika ndivyo sivyo lakini ilisaidia kuwadhibiti wajingawajinga kama manji. Lakini kwa kadiri siku zinavyokwanda vibaka wataachwa kuchukuliwa sheria mkononi, sheria mkononi itahamia kwa watu kama manji wanaoiba halafu wanakuwa nakiburi kwa wananchi waliowaibia. si ajabu kwa siku sijazo hali ikiwa ngumu sana, watakao onekana wanasababisha hali hiyo ni watu kama akina manji , rostam na wote wanaohujumu wananchi bila kusahau ccm, maofisi yao hayatasalia.
 
Dah!!kwa namna Serikali yetu ilivyo pamoja na wananchi wake ni kuwa hapa hamna kesi au mahakama itakayotoa haki sawa,hizi ni hadithi za"hapo zamani za kale!!!!,alitokea Sungura na Fusi,,,,,,,,"
 
Hiyo tu inaonyesha ni jisnsi gani watu wa aina ya Manji wanavyojidanganya kwamba wako tht powerful and influential kiasi kwamba wanaweza kuingilia personal liberties za watu wote. Yaani jamaa anaitisha mpaka katiba........ kweli bongo tambarareeeee!

Mbaya hata wakivunja katiba watashinda kesi Tanzania, kesi ikienda mahakama ya kimataifa na kusikilizwa ngoma itakuwa nzito. Hasa baada ya mwezi May mwaka huu UN waliweka access to internet is a basic fundamental human right. Ndio maana najiuliza sijui hii movie itaishiaje kwani wanavyoviomba vyengine vigumu sana kutekelezeka labda kwa ubabe na vitisho. Na vikiwa hivyo basi wajiandae kwenda kwa Ocampo maana INTERNET ACCESS IS FUNDAMENTAL BASIC HUMAN RIGHT.

Ila watu wasisahau in every right comes with responsibility na moja wapo kujiepusha na kumchafua au kuchafua jina la mtu, image au reputation yake especially kama huna evidence na unayoyasema.
 
Manji! Kijana ana guts za kuweza kudhihaki watanzania na ku blackmail vingozi wetu!
Aliidhamini Kagoda kufungua akaunti kwenye matawi ya CRDB na hizo akaunt zikaingiziwa pesa iliyoibiwa, Mungu wangu tuepushe na hasira. Yaani mwizi anakuwa na jeuri ya kumkemea aliyemwibia? Au na huyu kijana kaiweka serikali mfukoni?
Hii jeuri inatoka wapi? Kwa sababu tu anahonga decision makers wa NSSF bil.1 ili achukue zaidi ya bil. 40? LAPF nasikia walinunua Quality Plaza, inakuwaje hiyo logo ya kichefuchefu bado ipo?
Manji aliruka kihunzi cha Japanese Import Support Fund (alinunua vibali vyoote vya wabunge na mawaziri enzi ya Yona akiwa waziri wa pesa) ila sidhani kama sasa anaweza kuruka Kagoda. Anapokaa panajulikana.
Na hawa wanasheria kwa nini hawaoni wapi pa kufaili hati ya dharura?
 
Kuna watu hapa jamvini acheni kujibu post zao..sababu they are just provocative na wanalenga kupotosha mada, na mnavozidi kuwajibu ndo wanavozidi kusikia raha kama mwanaJF mmoja alivosema kwenye thread fulani. Watu hawa ni kama Faiza Foxy, Mwita 25, Rejao, Omr, Barubaru nk..achananeni nao wakiandika utombo wao wasiwapotezee muda.
 
Hii sinema ni nzuri. Ni kati ya zile sinema ambapo stelingi anakuja kuwa jambazi na jambazi anakuja kuwa steling. Mama watoto popcorn zangu please
 
Hii movie tamu ila kusema katika mitandao watu wasizungumze au kusema itakuwa ngumu.
Sasa mkuu itakuaje kama mahakama ikizuia hadi huku kwenye forums tusizungumzie mambo ya manji?

Kwani Manji yuko mmoja Tanzania? Wewe kina Rumanyika wako wangapi unafikiri Tanzania? Au kina Mdondoaji wako wangapi? Sifikirii atafanikiwa katika suala la kuzuia watu wasizungumzie ishue pertaining to national interest unless ishu hiyo iwe ni uzushi, umbeya, uongo hapo sasa kesi inakuwa kasheshe kwani umemuharibia mtu jina lake. China wenyewe walishindiwa kufanya sensitization wanaishia kufunga mtandao wote. Egypt Mubarak alijaribu kila njia mwisho wa siku alisalimu amri mwenyewe.

The rest mkuu wewe kandamiza tu as long unakuwa mwangalifu na reputation za watu, huenezi chuki na kutishia usalama wa nchi na raia zake na kwanini uyafanye hayo kama sio kukosa uungwana mkuu.
 
With regard to Manji! I know what I can do, the perfect one and the real objective one; just one minute if RO could have handled his office to me for one day, I can make these things more historical than ever.
 
Rais walimtawaza wao, Makinda wakampa uspika. Nitashangaa sana kama na huyu Chande hakuletwa na hawahawa.
 
THIS time Manji atachemsha. na lazima ataliwa hela nyingi sana, coz ndo zake kupenda kuzima mambo kwa kutumia fwezaz.
 
Back
Top Bottom