Hivi Salome Mbatia alikufa kifo cha kawaida au?...na yule dereva aliyesababisha ajaali ile alishaonekana?
thats exactly my point.. ndio maana sikuhizi kwa kweli sihangaiki kufichua ufisadi zaidi kwa sababu tumeshapigwa ganzi.. sasa hivi ni kujipanga kuushughulikia tu.. Tangu Loliondo hadi leo bado tupo hapo hapo.. kashfa kashfa kashfa..
Hivi mkijua zaidi inawasaidia nini zaidi? ni kitu gai mkisikia kitawashtusha?
Nafikiri jibu lipo kwenye swali: Kwanini TBC walikatisha matangazo pale tuhuma zilipoanza kurushwa?Hivi mkijua zaidi inawasaidia nini zaidi? ni kitu gai mkisikia kitawashtusha?
Hivi mkijua zaidi inawasaidia nini zaidi? ni kitu gai mkisikia kitawashtusha?
KUBENEA haogopi ukali wa tindikali.
Hivi kuna mwandishi gani humu nchini aliye na ujasiri zaidi ya, au hata kama yaye? Hakuna! Mwenyezi Mungu azidi kumlinda.
Mzee MKJJ kujua zaidi inatusaidia sana. Inakuwa kama kujaza upepo wa tairi la baiskeli kwa pump ya mkono, inabidi ufanye strokes nyingi kwa kurudia rudia hadi tairi litakapojaa. Hizi habari ni kama strokes za pump hiyo na karibu tairi linajaa na safari itaanza.Hivi mkijua zaidi inawasaidia nini zaidi? ni kitu gai mkisikia kitawashtusha?
thats exactly my point.. ndio maana sikuhizi kwa kweli sihangaiki kufichua ufisadi zaidi kwa sababu tumeshapigwa ganzi.. sasa hivi ni kujipanga kuushughulikia tu.. Tangu Loliondo hadi leo bado tupo hapo hapo.. kashfa kashfa kashfa..
thats exactly my point.. ndio maana sikuhizi kwa kweli sihangaiki kufichua ufisadi zaidi kwa sababu tumeshapigwa ganzi.. sasa hivi ni kujipanga kuushughulikia tu.. Tangu Loliondo hadi leo bado tupo hapo hapo.. kashfa kashfa kashfa..
Wana-JF,
Gazeti la Mwanahalisi la leo ni moto wa kuotea mbali. Ndani ya stori yao kuu ya leo kuna habari kuhusu yale aliyoyatamka Marando katika Viwanja vya Jangwani siku ya Jumamosi hadi TBC wakamkata. Leo gazeti hilo limeweka bayana kwamba Marando alikuwa anauhakika asilimia 100 kilw alichokisema -- jinsi CCM ilivyofanya hujuma kubwa ya kihistoria kwa Watanzania pale viongozi wake wakuu walipokula njama kuibia BoT mabilioni kupitia akaunti ya EPA.
Mwanahalisi limeweka bayana, tena kwa undani kabisha na kwa ushahidi usiopingika kwamba aliyosenma Marando hayakuwa matusi au kejeli yoyote, bali ni ukweli kabisa kwamba CVCM ilituma watu kuchota mahela hayo kwa ajili ya kufanyia kampeni zilizoimwingiza JK mwaka 2005.
Wana-JF ntajaribu kupata soft copy na kuiweka hapa muda si mrefu, ikishindikana nitajaribu kui-key story na hasa zile ibara husika. It's damaging to CCM. It really is!!!!!!
This is very good answer to the gentleman yeye anadharau makala za wenzake anafikiri za kwake huwa zinatusaidia sana wakati tunajua nyimbo ni zile zile tofauti ni choirmaster tu, haa haa haaaa big up Edson.mada zako unazoletaga hapa we unazani huwa zinatusaidia nini?