MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,927
- 6,850
Ndugu zangu MwanaHalisi kuvunjika kwa pakacha si mwisho wa uchukuzi. Nashauri yafuatayo ili mwendelee kutuhabarisha:
1. Fanya MwanaHalisi liwe linachapishwa mtandaoni tu kwa sasa kwani zuio la serikali ni kwa ajili ya print tu. Habri zenu mziwekee mafaili ya pdf ili tuwe tunaweza kuchapisha nakala.
2. Fungua blog kupitia marafiki waliopo nje ya nchi ili lisibanwe na sheria zinazosigina haki ya vyombo vya habari, ili mwendelee kutuhabrisha.
3. Geuzeni gazeti lenu la michezo la Mseto liwe la habari za kawaida/makala ama kwa kuliongezea kurasa za mwanzo na nyingine kuliwekea habari za michezo km kawaida.
4. Ombeni Jamii Forums iwape space ambayo mtaweka link yenu tuwe tunalipata kupitia humu.
5. Mnaweza kuanzisha gazeti jingine kwa jina jipya labda mkaliita HabariHalisi
I see all that as "bridge gap measures and shortcuts which may end up being short circuited!!!" at a later stage; Mwanahalisi go to court hata kama mahakama zetu nazo ambazo kwa sasa zinatumika kuminya uhuru wa kuzungumza hata maswala nyeti yanayoashiria kumongonyoka kwa mustakabali wa taifa letu, Go to court ili hatimaye tujiridhishe kama hata mahakama zetu pia zimekuwa embbeded! and the sooner the better.