Mwanafunzi Wangu Amenitoa Machozi

Ni bahati mbaya sana tumefikia hapa. Kama nchi inayotaka kuendelea elimu ni kitu cha kwanza. Tumesahau hilo kabisa!
 
Tulikosea mbali sana...pale tulipoanza kuwekeana matabaka kwenye professions..kwamba kazi hii ni bora kuliko ile...
 
Hadithi nzima niya kuchonga kwa kuangalia uhalisia wa mazingira ya mwalimu na mwanafunzi wawapo shuleni hasa mwalimu anapokuwa anaingia darasani . Japo ukweli ni kwamba walimu hawalipwi vizuri.

Mohamed kamwe sina sababu ya kuchonga hadithi! hilo ni kweli kweli tupu. Unachosahau au umefanya maksudi nikusahau ukweli kwamba watoto wa siku za nyuma walikua wakiona mwalimu watakaa kimya ghafula au hata kujificha kizazi hiki ambacho hata bakora hakizijui, nidhahiri mazingira unayorefer ni tofauti sana na niliyopo mimi. Hiki ni kisa cha kweli and I hold it to be true. However ninakushukuru kwa kuadmit hatulipwi vizuri.
 
Hv yule mwalimu mfano wa muvi ya sarFina siku hizi hawapo...nilikuwa namkubLi kweli alivyokuwa anawapa madini..kitu Mbacho mwalim mpole umeshindwa elewa ni kuwa mna nguvu kubwa sana ya kuleta mabadiliko sio tu kwa kufanya migomo bali kuwapa mUjuzi wanafunzi kuhusu elimu ya demokrasia na utawala bora ili kutengeneza viongozi wazalendo..Liwalo na liwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom