halafu mkipata GPA za 2.1 mnaanza kulalamika..jana la bwana ndo nini? ndo hivi hivi mnakurupuka kujibu maswali ya mitihani mkifeli mnaanza kulalama...hata hivyo niko pamoja nawe katika msiba huu na nawatakieni pole na subira katika wakati huu mgumu sana,,,pumzike mwalimu wangu....
Nimeona nyuzi nyingine kuna mwingine wa Saut kauliwa na kutolewa macho. Nasema wawili, si bure. Jee, hawa wanafunzi walijiingiza katika kusambaza unga na wameshindwa kulipa na ma don wa unga ndio wamewahukumu au? maana wa chuo kimoja na wote vifo vya kukutwa na umauti sehemu ambazo si za kuwa wanafunzi na katika hali ya utatanishi. Au ni mmoja tu na zimebandikwa habari na maelezo tofauti?
askofu pengo hamna kamati za uchunguzi kama serikali?sasa imekuwa kero.
huyu wamemkuta ufukweni mwa ziwa amekufa..yule mwingine ameuliwa mtaani..vifo viwili ndani ya siku mbili