Mwanafunzi wa chuo saut akutwa amefariki maeneo gamba beach.

mbona wanakufa sana wanafunzi wa vyuo mwanza .....mara kajinyonga ,kanywa sumu,kafa mwenyewe
 
halafu mkipata GPA za 2.1 mnaanza kulalamika..jana la bwana ndo nini? ndo hivi hivi mnakurupuka kujibu maswali ya mitihani mkifeli mnaanza kulalama...hata hivyo niko pamoja nawe katika msiba huu na nawatakieni pole na subira katika wakati huu mgumu sana,,,pumzike mwalimu wangu....

wewe mwenyewe umechapia badala ya kapumzike,,, unaandika pumzike. Upatanisho wa kisarufi umeenda kombo kama ni mtihani hata wewe umefeli kaka.
 
inasemekana amepigwa mpaka akafa, sasa walompiga ndo hawajulikani. Polic wanafanya uchunguzi.
 
Jamani tena uyo mama mfiwa alikua na msiba ivi karibuni wa kaka yake na marehem, mungu ampe faraja uyu mama.coz it pain more.
 
Nimeona nyuzi nyingine kuna mwingine wa Saut kauliwa na kutolewa macho. Nasema wawili, si bure. Jee, hawa wanafunzi walijiingiza katika kusambaza unga na wameshindwa kulipa na ma don wa unga ndio wamewahukumu au? maana wa chuo kimoja na wote vifo vya kukutwa na umauti sehemu ambazo si za kuwa wanafunzi na katika hali ya utatanishi. Au ni mmoja tu na zimebandikwa habari na maelezo tofauti?
 
huyu wamemkuta ufukweni mwa ziwa amekufa..yule mwingine ameuliwa mtaani..vifo viwili ndani ya siku mbili
 
Leo asubuh Katika hali isiyo ya kawaida mwanafunzi wa chuo cha sauti mkoani tabora aitwae EDWARD QAMUNGA YANDU AMEKUTWA AKIWA AMEJINYONGA KWENYE CHUMBA ALICHOKUWA AKIISHI MAENEO YA IPULI MKOANI HAPA..POLISI BADO WANAENDELEA NA NITAWAJUZA ZAID
 
<cardinal Pengo anahusikaje na mwanafunzi kujinyonga?
au ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?
kwani umesikia SAUTI ni seminary?
 
Back
Top Bottom