Mwanafa, dully na skendo ya kucopy wimbo...Dully atukana redioni

nakuunga mkono ukweli kabisa clouds wengi wafanyakazi wa kiume wanatabia za kupenda wanaume wenzao na hii nimeishuhudia sana kwa rafiki yangu alikuwa ana washkaji zake hapo msg alizokuwa anazotumiwa zilikuwa zinamtatanisha akabidi
aniambie maana mimi ni rafiki yake wa karibu nikamuambia tuweke mtego naye awe anajibu kimahaba hivyo hivyo mwisho wa siku huyo waliendelea kwa muda siku ya siku ikabidi amuambie live through text kuwa anamfeel sana wakalale woote hapo ndipo nikamuambia deal tutawaweka kwenye magazeti ilibidi jamaa aje na mshkaji wake na tena mfanyakazi mwenzake wamuombe msamaha tena kwa kulia ki ubinadamu walisameheana na kuanzia siku hiyo tunajua jamaa ni watu wa namna gani na tena wanatuheshimu sana sana maana tunawajua ila hatuna matatizo nao maana wameamua kuwa hivyo kwa hiyo siwezi kuwahukumu. ila hapo dully alikuwa anafikisha ujumbe wa ukweli na we subiri kitakachotokea utaniambia watasema bora liwe na liwe maana hata huyo dully ana maskendo kibao yakupenda vijana wazuri nakuambia watamuumbua siku si nyingi. woote wanajuana.
makuuubwa
 
Jamani eleweni, kukop kitu cha mtu si vibaya na pia inafanyika saana kwenye saana ama ugunduzi flani ni kawaida,acheni ushamba someni na fikirieni.movie,nyimbo,beats,vitabu story na design ama melody ni kawaida hyo.kutunga na kutungiwa pia hakuna lajabu hapo mnawap promo za buree tuu kwa kutokuelewa mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom