Mwanafa, dully na skendo ya kucopy wimbo...Dully atukana redioni

Tatizo sio redio tatizo ni wasanii hawana shule!!! unaweza nitajia wapi ushaona mtu mwenye shule yake akafanya upuuzi kama huo..mbona prof J , Mwana FA waliokwenda shule hawajawahi tukana mtu redioni?? kwanza huyo TID najifanya kujua kingereza lakini anapiga broken mbaya..ndo anakua wa kwanza kutukana watu..hawajui jinsi ya kuhandle interviews..kumbuka kwamba clouds hiyo hiyo ndio inawapa promo kila siku na clouds hiyo hiyo ndio wameitukana..vipaji vya kuunga unga ..kubebwa wabebwe halafu they can't even behave??? bure kabisa..hili tatizo halipo kwa wanamuziki tu bali kwa wale wotee wanaojiita superstars..they don't know how to handle situations in interviews ..mtu mwenye busara utamtambua tu pale unapopata swali gumu kama hilo unaweza lijibu vipi proffessionally, lakini kwakuwa vichwa vyao maji..anabakia tu kutukana..hana akili zaidi ya kunywa bia tu...majinga makubwa

hivi hakuna uwezekano wa sheria kuwatia adabu hawa watukanaji?
 
sawa baba johniiii tumekuelewa....! nyie si ndo watangazaji wasomi !
Namnjua kuuliza kisomi.....!
 
Dully ndo shoga. Walianza kumshughulikia tangu enzi zile anarembua na mackdizo kwenye track ya sugarmamy. Soudy Brown jembe.
 
Achebi kuwatetea wafu fm,
Mtangazaji anapataje ajira ya utangazaji pasipo kuwa na vyeti vya taaluma ya fani hiyo??
Mtu hajasomea utangazaji halafu unampa ajira ya utangazaji?
Hawajui msingi wa taaluma ya kazi zao ndio maana watangazaji wake hawana nidhamu, sababu kazi wanapeana kishikaji kishikaji,
Mbona hatusikii watangazaji wa KISS FM, RFA, MAGIC FM, TIMES FM, PASSION FM na redio zingine wakitukanwa katika interview zao??
Kika siki WAFU FM ndio wanaotukana lazima kuna tatizo
 
Itakuwa ni clouds fm!

The fact is wana tabia za kichoko sana!
Kwa hili sidhani kama tutakuwa fair kusema samaki mmoja akioza. Tuwe wakweli kila binadamu ana mapungufu yake. Mi napenda ubunifu wa hawa jamaa (I stand to be corrected) Dully na wenzake ni wavivu na ndo maana hawana maendeleo ukilinganisha na wasanii walioko Uganda na Kenya (walioko kwenye game ukilinganisha kwa umri) Nimesikiliza kwa makini nikaona hapo ni mwisho wa copy n paste. Pole Dully, bongofleva haikupendi, nyie ni bazoka ya kufa mtu hamtaendelea ng'o kwa kuiga
 
ndo kina nani hao?

ni vijana machachari sana hapa daslaam kwa kuigiza maish,wana majina makubwa kwa level zao lakina cha kusikitisha pamoja na mbwembwe zote ni masikini wa kutupwa wa kipato..sasa ili waende sambamba na ukubwa wa majina yao wameamua kugeuza matundu yao ya nyuma kama mtaji...watoto wa magorofani almaalufu.
 
Hivi mtu mwenye akili timamu unapataje ujasiri wa kutukana wakati unafahamu upo hewani, na watanzania kibao wanakusikiliza? Pia nyie mnaowatuhumu wafanyakazi wa clouds kuwa ni mashoga mnaweza kuthibitisha? Epuka kumzushia mtu jambo la kumkwaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom