Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,196
Misingi ya Uumbaji ime base katika hii notion kuwa viumbe waliumbwa kama walivyo.Na muumbaji alijua anachotaka fanya na kukifanya.Kwa mtazamo wangu hata theory ya evolution nayo naichukulia kama inazumgumzia uumbaji, wha if mungu mwenye ndiye aliyetengeneza hizo amino acids?
Nani anaweza kusema ndiyo au hapana katika hili?
Mmsai, mchina na muhindi wanaweza wekwa kundi moja la human civilization kama tukiangalia vitu fulani kama family authorities etc.
Kila kiumbe kilipewa njia yake ya kuishi na kuzaana na haibadiliki wala kubahatishwa miaka nenda rudi.Evolution ni mabadiliko yasiyo na "control" katik muda fulani na yanategemea bahati bahati tuu kupata kiumbe.Na hii ilishawahi waingiza mtegoni waislam,hasa wale waislam wanaoilazimisha dini yao iendane na sayansi na hivyo kujikuta wakipinga uumabaji kwa mlango wa nyuma.
Kwa upande wa Ukristu wasomi wengi walijiuliza maswali ya biblia na kufanya tafiti ili kuyajua,mwishowe wakapata mawazo mapya na mazuri na ubunifu katik sayansi.