Huyo Prof wenu ni MUATHIRIKA........
nafa...........duh!....haya nimewanunulia pop corn na crisp za viazi mbatata......tukutane home watoto wazuri..........
Niko fiti mama...............hebu ngoja niimbe kidogo haka kawimbo.........
"Nitainua macho yangu, nitazame milima..............Msaada wangu utatoka wapi?...............Msaada wangu utatoka kwa Bwana................."
Nimekaa hapa Counter napata Kinywaji aina ya Jack Daniel na Barafu nyiiiingi..............
Karibuni sana.......................LOL
Nimeshawajulia hawa.........Jumapili ijayo ukiona ID mpya yenye posti moja tu imerusha uzi hapa Chit Chat usemao, "Leo niko hapa Brajec." ujue ni mimi.........Kaka Mtambuzi PM please kwani mimi bado nipo ESARP (Etina) hapa Survey... Fanya saa hizi..
Nimevaa Suruwale ya Cadet ya rangi ya grey na T-Shirt Nyeupe imeandikwa "Silaha pesa, kisu mzigo"
Watoto hawa bana.... Cantalisia na Husninyo waminharibia siku...........Nimeamua kurudi home..........
Yaone vile sura mbaya kama mama yao......................LOL