Mwana JF yeyote aliyeko hapa Brajec Pub Mwenge......................!

Nimevaa Suruwale ya Cadet ya rangi ya grey na T-Shirt Nyeupe imeandikwa "Silaha pesa, kisu mzigo"

yethuu..hizo tshet zimekukutaje na ww?...geuka nyuma yako utaona mtu kavaa kama muitaliano...nimetupia bonge la skafu ya brown!...na shat jeusi...jins mpauko!
 
yethuu..hizo tshet zimekukutaje na ww?...geuka nyuma yako utaona mtu kavaa kama muitaliano...nimetupia bonge la skafu ya brown!...na shat jeusi...jins mpauko!
Hizi T-Shirt ndio fasion siku hizi hata prezidaa wa JF huwa anazivaa sana tu.........
Ngoja nivae mawani yangu kwanza ili nikuone...............
Yeah............. I've seen you already my pal.............will join you very very soon..............
 
Duuu Mtambuzi kunywa repsonsibly... Nani atakuwa anatuletea HADITHI ZA KESI ZENYE UTATA IJUMAA?

Mie huwa nikipataga mshahara huwa naponeapo kwa Jack Daniel............
Na nikipata hiyo kitu ndio material ya Kesi za utata yanapanda..............................
 
sist, niangalizie pensi langu chumbani kwako twende.
Hapa naona muda si mrefu Bwawa litavamiwa na LUBA.............Ngoja nihamie Baa ya MAEDA..........nikapate utulivu wa moyo............
 
Sisy subiri mda mchache hii story itabadilika tupo na mama na madogo hapa ndio tunakaribia mcity tunamuibukia huko huko mpaka kieleweke leo,huyu mzee kazidi!
Tuone kama mtanikuta...............Nishaitisha BAJAJI........
 
Nimevaa Suruwale ya Cadet ya rangi ya grey na T-Shirt Nyeupe imeandikwa "Silaha pesa, kisu mzigo"

Aahahahahha! Hiyo T-shirt balaaa!

Mi niko stereo bar, kinondoni na mtoto wa ukweli! Nakula castle lite taratibu sana huku namkusanyia nguvu! Yeye anakula amarula na shots za gin...nadhani baadae itakuwa balaa!
 
Back
Top Bottom