King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,821
- 24,823
badala ya kufukuza mbu unafukuza mwizi! is that ur intended use?

Nafukuza mwizi

Nafukuza mwizi

badala ya kufukuza mbu unafukuza malaria! is that ur inteded use?

Bado haujaikomboa Libya tu? au bunduki la maji hilo?badala ya kufukuza mbu unafukuza malaria! is that ur inteded use?

niko faragha....busy......
Nipo jf najibu sredi ya buji.

Natoka msasani club Beach na timu yangu nzima kama ilivyo niko maeneo ya kwa warioba naelekea home now!

Niko chakonichako,hapa dom,napata kuku choma

Niko home hapa nacheza na watoto

Bujibuji karibu sana hapa upate moja moto moja baridi
Wanasemaga umbeya ni hobby, tujulishe basi uko nani?

Nakaribia home natoka kupoteza mawazo. Niko Mufindi Iringaaaaaa!