Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

nshapata jimama sasa hivi kachukua moja mwanamke nyonga,ila sitanyosha goti nilinyosha jana kwa shemeji yenu!

nakaribia tegea daladala imeingia petrol station na sisi tukiwa ndani, naenda kuangalia mafundi wangu wananisetia kibanda changu niachane na landlords.

nipo nyumbani tu sina pa kwenda
kama kuna mtu yupo lonely ani PM nipo hapa dar nitamfuata kiwanja
napendelea savannah au callfonia..drinks nyama choma
hhahaha

Nipo home full kulala na mpz
ningekalibisha buji buji lakini kinachofanyika we can not shae or you don't have to see

Niko home hapa nacheza na watoto

Bujibuji karibu sana hapa upate moja moto moja baridi

Hao watoto mnacheza nao vipi wakati mnalewa?au nao ni washirika wa moja moto moja baridi?

Nakaribia home natoka kupoteza mawazo. Niko Mufindi Iringaaaaaa!

ahaaaaa!habari za mufindi mkuu!pale ''shimoni'' bado kinadada wanafanya harakati zao zile?pole na baridi

Similar Discussions

Back
Top Bottom