TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

RIP Thadei Ole Mushi.
Thadei alikuwa mwalimu na mchambuzi mahiri wa siasa pia mwananchama wa CCM.
Alikuwa ni mwandishi mzuri hasa kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Thadei pia Alikuwa mmoja wa memba wa Jamiiforum.Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo.

Watu maarufu mbalimbali wameanza kutoa pole kwa familia akiwemo mkuu wa mkoa wa Njombe mh.Antony Mtaka.

Taarifa zaidi zitafuata.
View attachment 2893951
 
Back
Top Bottom