Mwambu yuko wapi?

moseskwaslema

Member
May 3, 2012
92
13
NAOMBA wana jf mnijulishe mama salome mwambu yuko wapi kisiasa? baada ya hapo nitajaribu kutoa wasifu wake kwani nilishawahi kufanya naye kazi ila sikumsikia katika hekaheka za uchaguzi ndani ya chama chake cha ccm.Kwa ufupi yeye ni mbunge wa wilwya ya iramba mashariki na ni miongoni mwa wabunge wabovu sana katika ccm cjui wanairamba waliangalia nini katika kumchagua huyu mama.Naomba mnisaidia yuko wapi kisiasa?:blah:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom