Mwambu yuko wapi?

moseskwaslema

Member
May 3, 2012
92
13
Mkuu wangu wa chuo,mdhalimu,mwenye wivu,mabaguzi,Extravagant etc mbona hasikiki tena?.Ndugu zangu watanzania katika historia ya maisha yangu sijawahi kumwona mtu mwenye roho mbaya [na nadhani watu wa aina hii wanapatikana zaidi ssm] kama salome mwambu mp,iramba mashariki simsikii tena katika ulingo wa siasa hasa siasa za ndani ya chama kwani nilikuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana hizi chaguzi zilizokuwa zikifanyika hivi majuzi.Hata na hinyo binafsi nashangaa ilikuwaje hata watu wa iramba wamchague yule mama wakati kuna vijana wengi sana wenye uwezo mzuri sana kuliko yule mama mwenye roho ya paka.Nina uhakika watu hao walifanya makosa na hawatayarudia hayo makosa tena 2015.
 
Kaka mkuu swali lako hili si mahali pake. nenda kwenye jukwaa la siasa,huko utakutana na majibu yote ya swali lako. pole kwa kupotea njia! but ndio makuzi hayo.
 
Back
Top Bottom